kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Naam wakuu, wakati kile kifurushi Cha Dola billions 61 kutoka marekani kwa ajili ya msaada wa kijeshi kwa Ukraine bado hakijafikisha hata miezi 2.,mataifa Saba yenye nguvu ya kiuchumi duniani yaani G7,yamepitisha kifurushi kingine kwa ajili ya Ukraine, ikumbukwe kwamba kifurushi hiki kilichoidhinishwa Jana kinatokana na fedha za urusi zilizozuiliwa huko ulaya..,na hii ndio maana halisi ya kujikaanga kwa mafta yako kama kiti moto,
Faida itokanayo na fedha za urusi zilizozuiliwa katika mataifa ya magharibi ndio hiyohiyo inatumika kununulia silaha na maitaji mengine kwa Ukraine dhidi ya urusi!
www.aljazeera.com
Faida itokanayo na fedha za urusi zilizozuiliwa katika mataifa ya magharibi ndio hiyohiyo inatumika kununulia silaha na maitaji mengine kwa Ukraine dhidi ya urusi!
G7 leaders agree to $50bn loan for Ukraine at annual summit
G7 leaders hail ‘unity’ after reaching deal to fund Ukraine via profits on frozen Russian assets during summit in Italy.