Ukraine kupewa vifaa vinavyozuia mabomu yanayotupwa uraiani na Urusi

Ukraine kupewa vifaa vinavyozuia mabomu yanayotupwa uraiani na Urusi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Urusi wameonyesha walivyo desperate baada ya kushindwa kupambana kijeshi wameamua kutupa mabomu kwa raia, sasa Ukraine kupokezwa vifaa vya kuzuia hayo mabomu, mapambano yabaki baina ya wanajeshi sio kukimbilia kuua raia.

What can the air defense shields do?​

The IRIS-T SLM can defend from approaching missiles at an altitude of up to 20 kilometers (12 miles) and a distance up to 40 kilometers (25 miles).

According to Scholz, the defense system makes it possible to protect "an entire major city from Russian air attacks."

German Foreign Minister Annalena Baerbock said on Monday that Germany would do "everything it can" to help quickly bolster Ukraine's air defenses.

"It is despicable and unjustifiable for Putin to bombard large cities and civilians with missiles," Baerbock wrote on Twitter.

AA12O2nJ.img

Naona umepoa kidogo kwa mashambulizi ya jana. Ukraine ina haki, dunia iisaidie . Hali ikoje now? NATO imeitelekeza Ukraine!

Wala hamna kilichopoa, shughuli bado ni mpwito mpwito hadi Crimea, ni ile tu kwamba Urusi ameonyesha akifikishwa ukutani anaishia kushambulia raia kwa mabomu, ndio kete aliyokua amesalia nayo, na sasa hiyo pia itadhitiwa.

Kawaida vita huwa baina ya wanajeshi, na hairuhusiwi kutupa mabomu kwenye kandamnasi au masokoni, nawashangaa wanaoshabikia kisa mizuka ya kidini.
 
Wala hamna kilichopoa, shughuli bado ni mpwito mpwito hadi Crimea, ni ile tu kwamba Urusi ameonyesha akifikishwa ukutani anaishia kushambulia raia kwa mabomu, ndio kete aliyokua amesalia nayo, na sasa hiyo pia itadhitiwa.....
Kawaida vita huwa baina ya wanajeshi, na hairuhusiwi kutupa mabomu kwenye kandamnasi au masokoni, nawashangaa wanaoshabikia kisa mizuka ya kidini.....
Ukraine alipolipua lile daraja watu wakiwa wanavuka ulikuwa wapi ?
 
Naona umepoa kidogo kwa mashambulizi ya jana. Ukraine ina haki, dunia iisaidie . Hali ikoje now? NATO imeitelekeza Ukraine!
Supapawa mzima unashindwa kupigana frontline unakimbilia kurusha mabomu kwa soft targets? Tunataka apambane frontline na siyo unarusha bomu Kariakoo kwa watu wanaohangaika na shughuli zao na wewe unajiona ni una nguvu kijeshi.Tunajua frontline katembezewa kichapo cha haja.
 
Wala hamna kilichopoa, shughuli bado ni mpwito mpwito hadi Crimea, ni ile tu kwamba Urusi ameonyesha akifikishwa ukutani anaishia kushambulia raia kwa mabomu, ndio kete aliyokua amesalia nayo, na sasa hiyo pia itadhitiwa.

Kawaida vita huwa baina ya wanajeshi, na hairuhusiwi kutupa mabomu kwenye kandamnasi au masokoni, nawashangaa wanaoshabikia kisa mizuka ya kidini.
Hao wenye mizuka ya kidini wasikupe taabu,tulishawazoea.Huoni huwa wanatoa povu hatari Palestina wakitembezewa kichapo cha haja lakini hao hao huwa wapo kimya waislamu wenzao hapo Somalia wanachinjana kama kuku.Kifupi kwao hata hawajui nini wanakitaka hapa Duniani.Wapo wapo tu.
 
Russia bado ameshindwa vita hii kwasababu huwezi kuuwa Raia na kuharibu miundombinu alafu useme huo ni ushindi,bado Russia hajaweza kuiteka Ukraine na hataweza milele Sisi wenye Akili timamu tunajua mwisho wa Putin upo karibu Sana
Mbona unajitetea kuwa unaakili timamu?MTU mwenye Akili timamu hawezi kuongea ukichoongea wewe Kwa mfano sentensi ya mwisho.nani kakuambia Russia anataka kuiteka Ukraine nzima?yeye ashajichukulia maeneo yenye faida
 
Kwa aliyofanya putin ni Kinyaaa mbele ya watu huru, nazani kamaliza mwendo
 
Naona umepoa kidogo kwa mashambulizi ya jana. Ukraine ina haki, dunia iisaidie . Hali ikoje now? NATO imeitelekeza Ukraine!
Putin ndio kajitelekeza, ameshambulia raia na majengo baada ya kijeshi kushindwa, na sasa Donbas hachomoi wahuni wameapa hawatarudi nyuma speed ni ile ile kuendelea kusomba miji ndani ya majimbo yaliyopigwa kura za kimchongo
 
Wala hamna kilichopoa, shughuli bado ni mpwito mpwito hadi Crimea, ni ile tu kwamba Urusi ameonyesha akifikishwa ukutani anaishia kushambulia raia kwa mabomu, ndio kete aliyokua amesalia nayo, na sasa hiyo pia itadhitiwa.

Kawaida vita huwa baina ya wanajeshi, na hairuhusiwi kutupa mabomu kwenye kandamnasi au masokoni, nawashangaa wanaoshabikia kisa mizuka ya kidini.
Huko Ukraine imeshambuliwa miundombinu nyeti tu,hao Civilians waliokufa ni collateral damage!
Ukraine alipolipua Crimea,hiyo ni battle field?Mbona hamsemi civilians waliokufa hapo kwenye daraja la Crimea?Mkaishia kutengeneza na vibonzo vya daraja kulipuka huku mkimcheka Putin bila kujali watu waliopoteza maisha!
Kunya anye kuku,akinywa bata kaharisha! Pathetic
 
Back
Top Bottom