Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Huko Ukraine imeshambuliwa miundombinu nyeti tu,hao Civilians waliokufa ni collateral damage!Russia bado ameshindwa vita hii kwasababu huwezi kuuwa Raia na kuharibu miundombinu alafu useme huo ni ushindi,bado Russia hajaweza kuiteka Ukraine na hataweza milele Sisi wenye Akili timamu tunajua mwisho wa Putin upo karibu Sana
Ukraine alipolipua Crimea,hiyo ni battle field?Mbona hamsemi civilians waliokufa hapo kwenye daraja la Crimea?Mkaishia kutengeneza na vibonzo vya daraja kulipuka huku mkimcheka Putin bila kujali watu waliopoteza maisha!
Kunya anye kuku,akinywa bata kaharisha! Pathetic