Ukraine kupewa vifaa vinavyozuia mabomu yanayotupwa uraiani na Urusi

Russia bado ameshindwa vita hii kwasababu huwezi kuuwa Raia na kuharibu miundombinu alafu useme huo ni ushindi,bado Russia hajaweza kuiteka Ukraine na hataweza milele Sisi wenye Akili timamu tunajua mwisho wa Putin upo karibu Sana
Huko Ukraine imeshambuliwa miundombinu nyeti tu,hao Civilians waliokufa ni collateral damage!
Ukraine alipolipua Crimea,hiyo ni battle field?Mbona hamsemi civilians waliokufa hapo kwenye daraja la Crimea?Mkaishia kutengeneza na vibonzo vya daraja kulipuka huku mkimcheka Putin bila kujali watu waliopoteza maisha!
Kunya anye kuku,akinywa bata kaharisha! Pathetic
 
Ukraine alipolipua lile daraja watu wakiwa wanavuka ulikuwa wapi ?
Hawa watu akili zao wanazijua wenyewe!Hakuna mtu aliyewaonea huruma raia waliokufa daraja la Crimea,Tena wakatengeneza na vibonzo,wakaweka picha kubwa Kiev ikionesha daraja likiwaka huku wakipiga selfie na kumkebehi Putin kuwa happy birthday!
Sasa hivi wanalialia,kazi sana kuwaelewa Hawa watu!
Hii taste your own medicine!
 
Putin ndio kajitelekeza, ameshambulia raia na majengo baada ya kijeshi kushindwa, na sasa Donbas hachomoi wahuni wameapa hawatarudi nyuma speed ni ile ile kuendelea kusomba miji ndani ya majimbo yaliyopigwa kura za kimchongo
Huko Ukraine imeshambuliwa miundombinu nyeti tu,hao Civilians waliokufa ni collateral damage!
Ukraine alipolipua Crimea,hiyo ni battle field?Mbona hamsemi civilians waliokufa hapo kwenye daraja la Crimea?Mkaishia kutengeneza na vibonzo vya daraja kulipuka huku mkimcheka Putin bila kujali watu waliopoteza maisha!
Kunya anye kuku,akinywa bata kaharisha! Pathetic
 
Usimpangie..!
Vita ni mkakati.
 
Putin ndio kajitelekeza, ameshambulia raia na majengo baada ya kijeshi kushindwa, na sasa Donbas hachomoi wahuni wameapa hawatarudi nyuma speed ni ile ile kuendelea kusomba miji ndani ya majimbo yaliyopigwa kura za kimchongo
Mungu aisaidie Ukraine!
 
asante sana umenipa moyo. hawa Ukraine wanaonewa. Mtu anataka kujiunga Nato, wewe unasema sitaki, ala we nani?
 
Russia bado ameshindwa vita hii kwasababu huwezi kuuwa Raia na kuharibu miundombinu alafu useme huo ni ushindi,bado Russia hajaweza kuiteka Ukraine na hataweza milele Sisi wenye Akili timamu tunajua mwisho wa Putin upo karibu Sana
Kwa hiyo wakati Ukraine wanabomoa daraja la Kerch walitumia kufunga gani cha sheria za mapigano?
 
Tunajua supapawa kapigwa frontline akakimbilia kupifa soft target period.Unajiona una nguvu za kijeshi na unapelekeshwa na Kitaifa kidogo unapanic hadi unaamua kwenda kuua watu wako K.koo wanatafuta riziki zao.Supapawa hoi bin taaban,sasa hivi hata hajui nini anachopigania atarusha makombora hadi achoke lakini Majeshi shupavu ya Ukraine yanasonga mbele kufurusha hao wanajeshi wanywa gongo wasiojua hata nini wanachopigania.
 
Nikiamua kukusanya links za mashambulizi ya Marekani na Shoga zake wa ulaya kwenye makazi ya watu pamoja na mahospitali huko Afghanistan na Syria, naweza kukesha na nisimalize!

Muache unafki nyie pro-west.
 
Mkifikaga kwenye habari hizi kumuhusu shosti yenu USA, mnafumba macho.

Kwa hiyo logic yako, kati ya aliepiga ofisi za wanausalama Kiev na huyu aliepiga hospitali, ni yupi superpower wa mchongo?

Au hapa vigezo vinabadilika?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Jana mrusi akiwa anarusha makombora yanatua kwenye barabara tazaza Ukraine walivyokaanga hii column ya missile launchers jana hiyo ni hatari kazi ya Himars [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hahahaaaa,tulieni dawa iwaingie!Sasa hivi mnarecruit watu wa kujitoa muhanga😂😂 kwenye miundombinu ya Russia!Na onyo limeeleweka,wakithubuti tukio kama la Crimea basi majibu yatakuwa makali zaidi!
Saiv Zele hakai ofisini,anaishi kwenye handaki!Na bahati yake aliwahi kukimbizwa,lasivyo Iskander ingempa salamu ofisini Kwake!
Huko Frontline kazi imeiva,mko mnapukutishwa,ila Urusi yeye hanaga mbwembwe za picha picha,anakutandika halafu anakuacha sensa ujifanyie mwenyewe😂!
 
Haaa soft Target Wakati karibia asilimia 80 ya Ukraine haina umeme? Na leo nchi karibia 40 zinatarajiwa kukutana kwenye mkutano wa dharura kujadili mashambulizi hayo hii inaonesha yalikuwa makali na ya kuumiza.
Ukraine haitokuja kurudia huo upuuzi ilio ufanya hilo daraja wataliopa kama ukoma.
 
Hadithi hizi hazijaanza leo mkuu we both know 😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…