Nikionaga mwanaume anatumia maneno ya kina mama wa uswshilini wanaochambana kama 'shosti' badala ya kujenga hoja napata na uvivu wa kujibu [emoji848]Mkifikaga kwenye habari hizi kumuhusu shosti yenu USA, mnafumba macho.
Kwa hiyo logic yako, kati ya aliepiga ofisi za wanausalama Kiev na huyu aliepiga hospitali, ni yupi superpower wa mchongo?
Au hapa vigezo vinabadilika?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2383412
Huku ndiyo kupambana sasa Kijeshi,siyo unakwenda kurusha makombora sokoni halafu unajiona wewe ni Supapawa.Jana mrusi akiwa anarusha makombora yanatua kwenye barabara tazaza Ukraine walivyokaanga hii column ya missile launchers jana hiyo ni hatari kazi ya Himars [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisi tunachojua supapawa wa tiger pepa kapewa kipondo cha haja.Na kule frontline Majeshi ya Ukraine yanasonga mbele bila wasi wasi.Yeye arushe rushe tu hayo Makombora yake ila cha moto anakipata na walevi wake wa gongo wanakimbia ovyoHahahaaaa,tulieni dawa iwaingie!Sasa hivi mnarecruit watu wa kujitoa muhanga[emoji23][emoji23] kwenye miundombinu ya Russia!Na onyo limeeleweka,wakithubuti tukio kama la Crimea basi majibu yatakuwa makali zaidi!
Saiv Zele hakai ofisini,anaishi kwenye handaki!Na bahati yake aliwahi kukimbizwa,lasivyo Iskander ingempa salamu ofisini Kwake!
Huko Frontline kazi imeiva,mko mnapukutishwa,ila Urusi yeye hanaga mbwembwe za picha picha,anakutandika halafu anakuacha sensa ujifanyie mwenyewe[emoji23]!
UnajitekenyaWala hamna kilichopoa, shughuli bado ni mpwito mpwito hadi Crimea, ni ile tu kwamba Urusi ameonyesha akifikishwa ukutani anaishia kushambulia raia kwa mabomu, ndio kete aliyokua amesalia nayo, na sasa hiyo pia itadhitiwa.
Kawaida vita huwa baina ya wanajeshi, na hairuhusiwi kutupa mabomu kwenye kandamnasi au masokoni, nawashangaa wanaoshabikia kisa mizuka ya kidini.
Crimea sio Urusi, urusi amehodhi kimabavu tu.Huko Ukraine imeshambuliwa miundombinu nyeti tu,hao Civilians waliokufa ni collateral damage!
Ukraine alipolipua Crimea,hiyo ni battle field?Mbona hamsemi civilians waliokufa hapo kwenye daraja la Crimea?Mkaishia kutengeneza na vibonzo vya daraja kulipuka huku mkimcheka Putin bila kujali watu waliopoteza maisha!
Kunya anye kuku,akinywa bata kaharisha! Pathetic
Halafu rusia mbona ddeen hawaiaminiWala hamna kilichopoa, shughuli bado ni mpwito mpwito hadi Crimea, ni ile tu kwamba Urusi ameonyesha akifikishwa ukutani anaishia kushambulia raia kwa mabomu, ndio kete aliyokua amesalia nayo, na sasa hiyo pia itadhitiwa.
Kawaida vita huwa baina ya wanajeshi, na hairuhusiwi kutupa mabomu kwenye kandamnasi au masokoni, nawashangaa wanaoshabikia kisa mizuka ya kidini.
Hivi kweli kuna mtu mwenye akili anaamini Ukraine itaishinda Urusi kwa siraha za kupewa? Ngoja tuone
Hahahaaaa,tulieni dawa iwaingie!Sasa hivi mnarecruit watu wa kujitoa muhanga😂😂 kwenye miundombinu ya Russia!Na onyo limeeleweka,wakithubuti tukio kama la Crimea basi majibu yatakuwa makali zaidi!
Saiv Zele hakai ofisini,anaishi kwenye handaki!Na bahati yake aliwahi kukimbizwa,lasivyo Iskander ingempa salamu ofisini Kwake!
Huko Frontline kazi imeiva,mko mnapukutishwa,ila Urusi yeye hanaga mbwembwe za picha picha,anakutandika halafu anakuacha sensa ujifanyie mwenyewe😂!
Huko Ukraine imeshambuliwa miundombinu nyeti tu,hao Civilians waliokufa ni collateral damage!
Ukraine alipolipua Crimea,hiyo ni battle field?Mbona hamsemi civilians waliokufa hapo kwenye daraja la Crimea?Mkaishia kutengeneza na vibonzo vya daraja kulipuka huku mkimcheka Putin bila kujali watu waliopoteza maisha!
Kunya anye kuku,akinywa bata kaharisha! Pathetic
Ni vita gani ambayo raia hawakufa,Libya,Iraq au Afghanistan?Russia bado ameshindwa vita hii kwasababu huwezi kuuwa Raia na kuharibu miundombinu alafu useme huo ni ushindi,bado Russia hajaweza kuiteka Ukraine na hataweza milele Sisi wenye Akili timamu tunajua mwisho wa Putin upo karibu Sana
duh tumia akil , isingekuwa NATO Ukraine ingekuwa imetekwa tyrNaona umepoa kidogo kwa mashambulizi ya jana. Ukraine ina haki, dunia iisaidie . Hali ikoje now? NATO imeitelekeza Ukraine!
nitakujibu accordingly later unasema akili? subiriduh tumia akil , isingekuwa NATO Ukraine ingekuwa imetekwa tyr
Zile za marekani zinazolinda Kiev zimefeli [emoji16][emoji16][emoji16]
Akili Yako ndipo ilipoishia!Ona mihemko ya kidini inavyokuchanganya, kushambulia soko inakuaje miundombinu nyeti, ndio maana huwa mnalipukiana kwenye masoko.
Wameapia wapi Twitter??[emoji38]Putin ndio kajitelekeza, ameshambulia raia na majengo baada ya kijeshi kushindwa, na sasa Donbas hachomoi wahuni wameapa hawatarudi nyuma speed ni ile ile kuendelea kusomba miji ndani ya majimbo yaliyopigwa kura za kimchongo
Kwani walikwambia wanataka kuiteka Ukraine. Au hayo ni wamatamanio yako. Hakuna siku wala sehemu putin alisema anataka kuiteka Ukraine. Yeye kachukua majimbo yake ma4. KatuliaRussia bado ameshindwa vita hii kwasababu huwezi kuuwa Raia na kuharibu miundombinu alafu useme huo ni ushindi,bado Russia hajaweza kuiteka Ukraine na hataweza milele Sisi wenye Akili timamu tunajua mwisho wa Putin upo karibu Sana
Kuna jamaa kasena saa hizi ukraine wanaogopa hata kuchana picha ya lile daraja[emoji38][emoji38][emoji38]Haaa soft Target Wakati karibia asilimia 80 ya Ukraine haina umeme? Na leo nchi karibia 40 zinatarajiwa kukutana kwenye mkutano wa dharura kujadili mashambulizi hayo hii inaonesha yalikuwa makali na ya kuumiza.
Ukraine haitokuja kurudia huo upuuzi ilio ufanya hilo daraja wataliopa kama ukoma.