Ukraine kupokea mifumo ya NASAMS Air Defense Systems kutoka Marekani

Ukraine kupokea mifumo ya NASAMS Air Defense Systems kutoka Marekani

Unafahamu kama ile kambi iliyoko IRAQ ndiyo kambi kubwa ya kijeshi kuliko zote pale Mashariki ya kati kwa USA? unamini kweli Base kubwa midle east yenye wanajeshi wote wa USA isiwe na Mfumo wa ulinzi wa anga?
Kwanin wadanganye sa, em fikilia kwa kina
 
naona deni la ukraine kwa wamerekani linazidi kuongezeka. patamu hapo. hakuna cha bure katika mataifa ya kibepari.
Tanzania aina vita na bado deni linaongezeka tu. Bora deni kuliko kupoteza nchi yako.mm nilijua wanakopa wana nunua magari y kifahali majumba n ndege binafsi.
 
Kwanin wadanganye sa, em fikilia kwa kina
Si kila information inayohusu jeshi na usalama itakayo tolewa inaweza kuwa kweli, lazima wabase katika maslah ya taifa lao, uchumi wao, kulinda biashara zao na utamaduni wao.

Marekan wana utaratibu wakutoa taarifa za kiinterwjensia baada ya miaka 10 tukio kutokea, linakuwa published kabisa kwa umma kwa mujibu wa sheria zao, Marekan kukiri kuwa yale makombora ya Iran ni kweli yalipita katika mifumo yao ya ulinzi wa anga na kupiga kambi yao biashara yao ya siraha, na mifumo ya Ulinzi wa anga itatiwa doa, lakini wewe unatakiwa ujiongeze kuwa ikiwa pale IRAQ ndipo pana Base kubwa ya kijeshi ya USA, na wana wanajeshi wao, inakuaje ikose mfumo wa ulinzi wa anga? Kumbuka ile base ndiyo base kubwa ya kijeshi mashariki yote ya kati! Mbona wamepeleka mifumo ya ulinzi wa anga pale Saudia kulinda visima vya mafuta ila bado Hisbolah wanatangwa ila mwisho wa siku utasikia Serikali ya Saudia ikiwalaumu Iran kuwa wanawapa mbinu wale wanamgambo!
 
Silaha za magharibi nazo mchemsho tu, ni mbwembwe kibao ila hamna kitu.

Kukurukakara zote hizo, vikao kibao vya EU pamoja na misaada lukuki kutoka nchi mbalimbali ila bado wameshindwa kumchimbua mrusi hapo Ukraine...hovyo!

Kwa tathimini ya jumla, Putin bado ni kisiki.
Hapana bwana haka kavita kanahitajika kachukue muda mrefu....lazima kumpapasa mrembo ndo harafu unazamisha dushe taratiiiiibu
 
West tunawashobokea ila hua wanatuchukulia poa sana. Wakenya waliomba msaada wa ndege US wakapewa Air Tractor AT- 802L, ndege flani kama za kumwagilia dawa mashambani😀😀
Screenshot_20220922-165716~2.png
 
HIMARS ni za kufanya mashambulizi, ila NASAMS ni ya kulinda, kwa kifupi ukiwa na nazo kila kombora analotuma Mrusi linashushwa, kila ndege ikijichanganya kuingia anga la Ukraine inapigwa chini, kila drone chini, yaani unabaki na anga safi, huku wanajeshi wako wa ardhini wanasafirisha HIMARS zinajongea kuendelea na mashambulizi.
Kama anapigana na Zimbabwe au msumbiji upo sawa
 
Back
Top Bottom