KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,816
Kwanin wadanganye sa, em fikilia kwa kinaUnafahamu kama ile kambi iliyoko IRAQ ndiyo kambi kubwa ya kijeshi kuliko zote pale Mashariki ya kati kwa USA? unamini kweli Base kubwa midle east yenye wanajeshi wote wa USA isiwe na Mfumo wa ulinzi wa anga?
Tanzania aina vita na bado deni linaongezeka tu. Bora deni kuliko kupoteza nchi yako.mm nilijua wanakopa wana nunua magari y kifahali majumba n ndege binafsi.naona deni la ukraine kwa wamerekani linazidi kuongezeka. patamu hapo. hakuna cha bure katika mataifa ya kibepari.
Si kila information inayohusu jeshi na usalama itakayo tolewa inaweza kuwa kweli, lazima wabase katika maslah ya taifa lao, uchumi wao, kulinda biashara zao na utamaduni wao.Kwanin wadanganye sa, em fikilia kwa kina
Hapana bwana haka kavita kanahitajika kachukue muda mrefu....lazima kumpapasa mrembo ndo harafu unazamisha dushe taratiiiiibuSilaha za magharibi nazo mchemsho tu, ni mbwembwe kibao ila hamna kitu.
Kukurukakara zote hizo, vikao kibao vya EU pamoja na misaada lukuki kutoka nchi mbalimbali ila bado wameshindwa kumchimbua mrusi hapo Ukraine...hovyo!
Kwa tathimini ya jumla, Putin bado ni kisiki.
Kama anapigana na Zimbabwe au msumbiji upo sawaHIMARS ni za kufanya mashambulizi, ila NASAMS ni ya kulinda, kwa kifupi ukiwa na nazo kila kombora analotuma Mrusi linashushwa, kila ndege ikijichanganya kuingia anga la Ukraine inapigwa chini, kila drone chini, yaani unabaki na anga safi, huku wanajeshi wako wa ardhini wanasafirisha HIMARS zinajongea kuendelea na mashambulizi.