Ukraine Kusafirisha Ngano Kwenda China Na Misri Wakati Meli Tano Zikiingia "Black Sea"

Ukraine Kusafirisha Ngano Kwenda China Na Misri Wakati Meli Tano Zikiingia "Black Sea"

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
9,971
Reaction score
13,608
Mytake:Hichi kitendo cha Ukraine kusafirisha ngano bila kuogopa vitisho vya Urusi ina maana sasa rasmi Putin anapuuzwa hata na marafiki zake wa karibu kama China 🤔
.....
 
Unazijua vizuri geopolitics zinazo husu Russia na washirika wake na upande mwingine hasimu wake?
Egypt na China ni washirika wazuri wa Russia.
In fact wote wapo kwenye BRICS. Egypt ni miongoni mwa wanachama wapya wa BRICS waliojiunga mkutano wa mwisho wa mwaka huu.

Ulitegemea Russia azuie chakula kisiende kwa washirika wake?
 
Mambo yanaendelea kuwa magumu kwa Putin na ProRussians
...
Sasa hivi Uingereza imeamua kupeleka meli zake za kivita "Black Sea" kama support kwa Ukraine.Uingereza wanadai "Black Sea" ni "International Water" hakuna ruhusa kwa mtu kuhodhi🤔
...
 
Mambo yanaendelea kuwa magumu kwa Putin na ProRussians
...
Sasa hivi Uingereza imeamua kupeleka meli zake za kivita "Black Sea" kama support kwa Ukraine.Uingereza wanadai "Black Sea" ni "International Water" hakuna ruhusu kwa mtu kuhodhi[emoji848]
...
Mbona nyie wasapoti NATO mnakuwa waongo kiasi hicho? uingereza bado wanajiulizauliza wapeleke meli na wanajeshi wao au wasipeleke.
 
Ukraine kaamua kupiga joka mkia litapetape vizuri huku likishuhudia kwa macho yake lenyewe! Siku wakiamua wanagonga na kichwa chenyewe linafia mbali huko.
Yap, urusi analiangalia anguko lake kwa macho yake
Hii michezo Huwa wanafanya sana wanyama wanaitwa hyenas..,,wanakula mnyama mwenzao akiwa mzimamzima bila kuchinja,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Unazijua vizuri geopolitics zinazo husu Russia na washirika wake na upande mwingine hasimu wake?
Egypt na China ni washirika wazuri wa Russia.
In fact wote wapo kwenye BRICS. Egypt ni miongoni mwa wanachama wapya wa BRICS waliojiunga mkutano wa mwisho wa mwaka huu.

Ulitegemea Russia azuie chakula kisiende kwa washirika wake?

Kwa hivyo marafiki zake wanamzunguka kufanya biashara na adui yake?.
 
Mambo yanaendelea kuwa magumu kwa Putin na ProRussians
...
Sasa hivi Uingereza imeamua kupeleka meli zake za kivita "Black Sea" kama support kwa Ukraine.Uingereza wanadai "Black Sea" ni "International Water" hakuna ruhusa kwa mtu kuhodhi[emoji848]
...
Kipindi Prime Minister wa UK akiwa Boriss, watu walimuona ana kiherehere sana. Wakasema Boriss akitoka basi UK haitakuwa na meno tena ya kuisaidia Ukraine.

Wakasahau kwamba nchi za wenzetu haziendeshwi kwa utashi na matakwa ya mtu. UK wamekiwa wa moto ktk kuisaidia Ukraine dhidi ya uvamizi wa kijeshi wa nchi ya Russia.
 
Back
Top Bottom