Anatumia ya karibu na nchi za NATOMytake:Hichi kitendo cha Ukraine kusafirisha ngano bila kuogopa vitisho vya Urusi ina maana sasa rasmi Putin anapuuzwa hata na marafiki zake wa karibu kama China [emoji848]
.....
Ukraine to export grain to China, Egypt as five vessels enter Black Sea
After it invaded Ukraine last year, Moscow closed off the Black Sea ports of one of the world's biggest suppliers of grain.m.jpost.com
Salamu ya kinazi.nyie wanaziSlava Ukraine
Ukraine kaamua kupiga joka mkia litapetape vizuri huku likishuhudia kwa macho yake lenyewe! Siku wakiamua wanagonga na kichwa chenyewe linafia mbali huko.Tangu urusi alipochakazwa kule black sea fleet Hana meno tena
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mbona nyie wasapoti NATO mnakuwa waongo kiasi hicho? uingereza bado wanajiulizauliza wapeleke meli na wanajeshi wao au wasipeleke.Mambo yanaendelea kuwa magumu kwa Putin na ProRussians
...
Sasa hivi Uingereza imeamua kupeleka meli zake za kivita "Black Sea" kama support kwa Ukraine.Uingereza wanadai "Black Sea" ni "International Water" hakuna ruhusu kwa mtu kuhodhi[emoji848]
...
UK Mulls Sending Its Navy to Black Sea and Military Instructors to Ukraine
Britain delivered a whopping $2.8 billion dollars in military aid to Ukraine last year, with Downing Street pledging to do the same in 2023.sputnikglobe.com
Nyie kweli hamna akili au hamsikii kuwa kila siku urusi anashambulia bandari za Ukraine?Tangu urusi alipochakazwa kule black sea fleet Hana meno tena
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kabisa mkuu , PUTIN ni matakore kabisa bossUkraine kaamua kupiga joka mkia litapetape vizuri huku likishuhudia kwa macho yake lenyewe! Siku wakiamua wanagonga na kichwa chenyewe linafia mbali huko.
Yap, urusi analiangalia anguko lake kwa macho yakeUkraine kaamua kupiga joka mkia litapetape vizuri huku likishuhudia kwa macho yake lenyewe! Siku wakiamua wanagonga na kichwa chenyewe linafia mbali huko.
Acha ndoto hizo weweNyie kweli hamna akili au hamsikii kuwa kila siku urusi anashambulia bandari za Ukraine?
Nyie kweli hamna akili au hamsikii kuwa kila siku urusi anashambulia bandari za Ukraine?
Unazijua vizuri geopolitics zinazo husu Russia na washirika wake na upande mwingine hasimu wake?
Egypt na China ni washirika wazuri wa Russia.
In fact wote wapo kwenye BRICS. Egypt ni miongoni mwa wanachama wapya wa BRICS waliojiunga mkutano wa mwisho wa mwaka huu.
Ulitegemea Russia azuie chakula kisiende kwa washirika wake?
Slava Ukraine Slava Zele[emoji110][emoji110][emoji109][emoji109]Salamu ya kinazi.nyie wanazi
Wewe kweli huna akili fuatilieni vyombo vya habari.Urusi gani anashambulia bandari za Ukraine?. Huyu amabaye Rais wake anaogopa kutoka uvunguni mwa kitanda chake?.
Kipindi Prime Minister wa UK akiwa Boriss, watu walimuona ana kiherehere sana. Wakasema Boriss akitoka basi UK haitakuwa na meno tena ya kuisaidia Ukraine.Mambo yanaendelea kuwa magumu kwa Putin na ProRussians
...
Sasa hivi Uingereza imeamua kupeleka meli zake za kivita "Black Sea" kama support kwa Ukraine.Uingereza wanadai "Black Sea" ni "International Water" hakuna ruhusa kwa mtu kuhodhi[emoji848]
...
UK Mulls Sending Its Navy to Black Sea and Military Instructors to Ukraine
Britain delivered a whopping $2.8 billion dollars in military aid to Ukraine last year, with Downing Street pledging to do the same in 2023.sputnikglobe.com