Artificial intelligence
JF-Expert Member
- Jan 28, 2021
- 1,265
- 2,252
Pontiff's ni viongozi wakuu wa kanisa katoliki duniani, hivyo wanasimamia, kuongoza, na kulinda misingi ya imani ya kanisa lao, kama walivyo viongozi wakuu wa imani yenu ya Muslim.Wewe unategemea vatican ndo waje wakwambie uozo wa viongozi wao? Kuanza tu chukua majina ya hao mapapa katafute historia zao sehem tofauti.....hadi hizo source zako unazozitaka wakupe biography ya hao wote......
.hao wenyewe waliowaletea hayo makanisa huko kwao wanayakimbia ....yanabaki magofu tu .....waumini wakueleweka waliobaki ni wazee tu.......watu wameshtukia utapeli wao, nguvu kubwa waliyonayo kama kanisa ni huku africa na huko america kusini ambao wote ukiwacheki ni pangu pakavu tia mchuzi...
...View attachment 2153553View attachment 2153554
Vile vile pontiff's wanawakilisha mamlaka pekee ya dini ulimwengu yaani Vatican state, wana papal nuncia ambao ni mabalozi wanaomuwakilisha pope katika nchi mbali mbali na shughuli mbali mbali ulimwenguni, hivyo mamlaka kukosea na kuwajibishwa ni jambo la kawaida.
Ni kweli predessesor pontiff's wamefanya hivyo ilu kutetea na kulinda kanisa lao dhidi ya heresy & desedents kama mlivyo nyie muslims pale muhadhibu mtu mkiona anachezea Allah wenu na mnatamani mliangushe kanisa katoliki na mfanye zaidi ila ni vile hamna nguvu na ushawishi duniani.
Na baadhi ya pontiff's katika kanisa katoliki ni saints, hii yote ni kutambua juhudu zao na uongozi wao juu ya kanisa katoliki. Kuanzia kwa Banzionites movement, Napoleon's I&II, ottoman empiror, Roman emperors(hata kama vatican ipo Rome ila walipinga sana kanisa katoliki lakini kanisa katoliki kwa kusaidiwa na Greater Constantine likisimama na Constantine akafanya dini ya katoliki kuwa dini rasmi ya empire yake, hii ndiyo imepelekea kanisa katoliki kutambua mchango wake na kumtangaza kuwa saint) ,Virtolio Emmanuel II, Hitler aliyetaka kumuua pope Pius, crusaders n.k wote hao walitaka kuliangusha kanisa katoliki wakashindwa vibaya hovyo.
Kupingwa na kukosolewa kwa kanisa katoliki hakujaanza leo bali tangia karne ya kwanza kuja medieval period, Franch Revolution 1848, Protestantism chini ya Martin Luther October 31, 1517, kuja modern era lakini bado catholic wamesimama imara.
Hayo madhehebu yaliyochomoza kama orthodox, sabath, TAG, yehova ,protestant ni kwa sababu za kimaslai mfano Martin Luther yeye alitofautiani na pope Leo X kwa sababu ya indulgences juu ya kanisa katoliki ili kujenga Rome akaona na yeye aje na kanisa lake October 31, 1517 na bado ni catholic na mafundisho yao yanafuata misingi ya vitabu vya catholic na hawapingi imani ya catholic, kwahiyo hata hili limeendelea kulipa nguvu kanisa katoliki duniani.
Watu wanasema wakatoliki wanajipendekeza kwa jews, siyo kweli msingi wa katoliki na jews upo katika historia ya hizi dini mbili juu ya mji wa Jelusalem, vile vile mamlaka ya Vatican chini ya pepe Pius III katika vita ya pili ya dini ilisaidia kuwaokoa jews zaidi ya 860000 kutoka kwenye Nazis camps na kuanzishwa kwa taifa la jews yaani Israel, hivyo catholic & Jews hata kama wanatofautiana katika mambo mbali mbali ya kimiongozi, lakini kuwatenganisha na huo msingi wao siyo rahisi.
Mpaka Vatican inakuwa state ya dini yenye mamlaka pekee ikiwakilisha catholic duniani chini ya mkataba wa Lateran treaty february 1929 chini ya pope Pius III na Benito Musolin akimwakilisha king Emanuelle III ni kwa juhudu za hao pontiff's.
Mwisho kabisa nikukumbushe hata muslims mnapingana kama catholic ndiyo maana baada ya kifo cha mtume muhammad waliibuka sunnis ambao ni 90% ya muslims wote duniani na Shiites(Shia), kwahiyo migogoro ya kiimani kuhusu hizi dini haijaanza leo ipo na itaendelea kuwepo hakuna haja ya kujenga chuki miongoni mwenu.