Ukraine: Urusi wametukabidhi miili 210 ya wapiganaji wetu

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Imeelezwa kuwa Urusi imekabidhi maiti 210 za wapiganaji wa Ukraine, ambao wengi wao walifariki wakati wa mapigano walipokuwa wakilinda Mji wa Mariupol dhidi ya Wanajeshi wa Urusi

Asilimia kubwa walifariki wakati walipokuwa wamezuiwa katika kiwanda cha chuma cha Azovstal kwa wiki kadhaa wakati Urusi ikijaribu kuuteka mji huo wa Mariupol.

Idara ya Ujasusi ya Wizara ya Ulinzi ya Ukraine ndio imetoa taarifa hiyo kwa kuleza kuwa mchakato wa kuendelea kupokea miili unaendelea.

Chanzo: newsinfo

=====================

Russia returns bodies of 210 Ukrainian fighters to Kyiv – military

Russia has handed over to Kyiv the bodies of 210 Ukrainian fighters, most of whom who died defending the city of Mariupol from Russian forces at a vast steel works, the Ukrainian military said on Tuesday.

Ukrainians were holed up in the Azovstal steelworks for weeks as Russia tried to capture the city. The Ukrainian soldiers eventually surrendered last month and were taken into custody by Russia.

“The process of returning the bodies of the fallen defenders of Mariupol is under way. To date, 210 of our troops have been returned – most of them are heroic defenders of Azovstal,” Ukraine’s defence intelligence directorate said on Twitter.

There has been little information about the fate of the estimated 2,000 Azovstal defenders. Kyiv is seeking the handover of all in a prisoner swap, but some Russian lawmakers want some of the soldiers put on trial.

“Work continues on bringing home all of the captured Ukrainian defenders,” said the directorate.

The families of Ukraine’s Azov unit of the national guard had earlier reported the return of some bodies.

Last week an exchange of 160 bodies between Russia and Ukraine was announced by Ukraine’s Ministry of Reintegration of the Temporarily Occupied Territories.

“It’s important to note that a third of the bodies (handed over) were Azov fighters, the affiliation of the other fighters to different units is being clarified,” the families said in a statement on Monday.

Russia casts the Azov Regiment, which led the defence of the steel works at Mariupol, as a “Nazi” militia with radical far-right origins.

Ukraine denies that, saying the unit has been reformed and integrated into its armed forces and is outside politics.
 
Urusi maiti zao za wanajeshi wanauawa ukraine hawataki kuchukua wanaogopa wananchi watacharuka

Ukraine waliwaambia wawakabidhi maiti za Askari wa Urusi lakini Putin hakujibu hata kujibu anaogopa dunia itajua utitiri wa wanajeshi waliouawa

Ukraine Haina shida kupokea maiti za mashujaa wao waliofia vitani

Urusi kwa nini inaogopa kupokea maiti za wanajeshi wao toka Ukraine?
 
Unaua mtu nyumbani kwake halafu unakabidhi maiti kwa ndugu zake hicho ni kitendo cha huruma?
Hao Askari wameuawa na Urusi wakiwa nyumbani kwao Ukraine

Huo ni uhalifu wa kivita dhidi ya binadamu
Nizaidi ya hio huruma yenyewe
RUSSIA niwakupigiwa mfano kama GAIDI kisa upo kwako ndio uachwe hai
MAGAIDI wa KINAZI wanatakiwa wapokonywe roho zao popote walipo hatakama wapo vyumbani mwao
RUSSO RUSSO RUSSO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Urusi maiti zao za wanajeshi wanauawa ukraine hawataki kuchukua wanaogopa wananchi watacharuka

Ukraine waliwaambia wawakabidhi maiti za Askari wa Urusi lakini Putin hakujibu hata kujibu anaogopa dunia itajua utitiri wa wanajeshi waliouawa hivyo wanatisha

Ukraine Haina shida kupokea maiti za.mashujaa wao waliofia vitani

Urusi kwa nini inaogopa kupokea maiti za wanajeshi wao toka Ukraine?
Kufa wajibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nizaidi ya hio huruma yenyewe
RUSSIA niwakupigiwa mfano kama GAIDI kisa upo kwako ndio uachwe hai
MAGAIDI wa KINAZI wanatakiwa wapokonywe roho zao popote walipo hatakama wapo vyumbani mwao
RUSSO RUSSO RUSSO

Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia nzima ilikuwa kinyume na manazi walikuwa na Urusi vita ya dunia

Hushangai Ukraine kuungwa mkono na dunia na Russia kutoungwa mkono na kelele zake za kuita Ukraine manazi?

Putin bwege alidhani aki wa brand Ukraine kuwa manazi angeungwa mkono na dunia kirahisi

Dunia imegoma cheap propaganda yake
Dunia iko nyuma ya Ukraine

Urusi ya sasa Haina wataalam wa propaganda convincing kumejaa mabwege tu ndio yalimdanganya Putin kuwa singizia Ukraine manazi utapata support!! Na yeye alivyo bwege akakubali. Imekula kwake
 
Unaua mtu nyumbani kwake halafu unakabidhi maiti kwa ndugu zake hicho ni kitendo cha huruma?
Hao Askari wameuawa na Urusi wakiwa nyumbani kwao Ukraine

Huo ni uhalifu wa kivita dhidi ya binadamu
You are kidding boy. Yaani maelezo uliyoaandika ndio kosa hilo ulilosema?

Yaonesha we ni mweupe kiasi gani, kasome "The Rome Statute".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia nzima ilikuwa kinyume na manazi walikuwa na Urusi vita ya dunia

Hushangai Ukraine kuungwa mkono na dunia na Russia kutoungwa mkono na kelele zake za kuita Ukraine manazi?

Putin bwege alidhani aki wa brand Ukraine kuwa manazi angeungwa mkono na dunia kirahisi

Dunia imegoma cheap propaganda yake
Dunia iko nyuma ya Ukraine

Urusi ya sasa Haina wataalam wa propaganda convincing kumejaa mabwege tu ndio yalimdanganya Putin kuwa singizia Ukraine manazi utapata support!! Na yeye alivyo bwege akakubali. Imekula kwake
Dunia gani inayomuunga mkono UKRAINE labda DUNIA ya MAGHARIBI sio DUNIA nzima

Katika mataifa yanayounga mkono kinachoendelea UKRAINE mataifa yakwanza ni hao hao WESTERN sababu wanachangia mabilioni ya RUBO ili RUSSIA wakamilishe OP yao inayoenda vyema mpaka sasa

Wasio muunga mkono niwaliomuekea vikwazo tu ukitoa mataifa ya EU nitajie mataifa 15 yalomuekea RUSSIA vikwazo tujue munaiongelea DUNIA ipi

Kwenu DUNIA niwamagharibi ila kwetu DUNIA nimajorities ya watu namataifa ambayo wengi na mengi yapo na RUSSIA kwa 100000%

Kama kweli DUNIA inaungana na UKRAINE waanze wamagharibi kugomea mafuta mbolea na NAFAKA kadhaa tokea RUSSIA

RUSSIA taifa TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia gani inayomuunga mkono UKRAINE labda DUNIA ya MAGHARIBI sio DUNIA nzima

app
Unaota

Mataifa yaliyopinga azimio dhidi ya Urusi​

Azimio la kuitaka Urusi kusitisha mapigano Ukraine lilipitishwa kwa kura nyingi ambapo mataifa 141 yaliunga mkono azimio hilo, mataifa matano yalipinga, na mataifa mengine 35 hayakuwepo kwenye mchakato wa kupiga kura.
Mataifa ambayo yalipinga azimio hilo wakionekana kuiunga mkono hatua ya Urusi huko Ukraine Urusi yenyewe, Belarus, Syria, Korea Kaskazini na Eritrea.
'Misimano ya mataifa haya haikua mbali na mitazamo ya Urusi, haikushangaza nchi kama Belarus kuiunga mkono Urusi, ilhali ardhi yake inatumika kuhifadhi vifaa vya kijeshi na vikosi vinavyoingia kwenye mpaka wa Ukraine', alisema Beatrice Kimaro, mchambuzi wa Tanzania.
Hata kabla ya zoezi la upigaji kura kufanyika, mataifa kama India, Korea Kaskazini, Iran, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na Saudi Arabia yalionekana kimya kuonyesha misimamo yao ya wazi kuhusu mzozo huo. China yenyewe ikiwa na msimamo vuguvugu.
" China upande wake imekuwa ikicheza karata ya diplomasia ya kuuma na kupuliza kwa pande zote mbili Ukraine na Urusi. Lakini wakati ikitoa wito wa suluhisho la amani ni wazi imeshindwa kwenda mbali zaidi kulaani uvamizi wa Urusi kwa sababu nchi hizo mbili zilikuwa zote wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zenye kura ya turufu kwanza zinahitajiana katika masuala yayohusika na siasa za dunia", anasema Mohammed Abdulrahman, mchambuzi wa Tanzania kwenye moja ya makala zake zilizochapishwa na BBC kuhusu mzozo huo.

Kwanini mataifa 35 hayajapiga kura ya azimio dhidi ya Urusi?​

Miongoni mwa mataifa ambayo hayakupiga kupiga kura kati ya hayo 35 ni pamoja na Tanzania, Congo, Afrika Kusini, Burundi, Uganda, India na Mali.
Mengine baadhi ni Madagascar, Cuba, Morocco, Zimbabwe Turkmenistan, Zimbabwe na Venezuela.
Wachambuzi wanasema kutokupiga kura kunaweza kuwa na sababu nyingi.
'kwenye masuala yenye ukinzani wa namna hii, yapo mataifa ambayo huamua 'kususia', ili yasijulikane misimamo yao wazi, mengine inawezekana kwa sababu zilizokuwa nje ya uweoz wao kuhudhuria zoezi hilo, ni jambo la kawaida', alisema Raphael Kugesha, mtaalam wa masuala ya jamii anayefuatilia siasa za kimataifa kutoka Kilimanjaro, Tanzania.
Kutokupiga kura kwa mataifa hayo hakutaathiri utekelezaji wa azimio lililopitishwa na idadi kubwa ya wajumbe.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilikutana kwa dharura kwa mara nyingine kujadili hali inayoendelea kutia wasiwasi mkubwa nchini Ukraine na kupiga kura.
Lengo ni kuiwajibisha Urusi kuzingatia kanuni na sheria za kimataifa lakini Urusi imeamua kwa mara nyingine kutumia tena kura yake ya turufu kupinga azimio lolote dhidi yake.

Dunia nzima ilikuwa kinyume na manazi walikuwa na Urusi vita ya dunia

Hushangai Ukraine kuungwa mkono na dunia na Russia kutoungwa mkono na kelele zake za kuita Ukraine manazi?

Putin bwege alidhani aki wa brand Ukraine kuwa manazi angeungwa mkono na dunia kirahisi

Dunia imegoma cheap propaganda yake
Dunia iko nyuma ya Ukraine

Urusi ya sasa Haina wataalam wa propaganda convincing kumejaa mabwege tu ndio yalimdanganya Putin kuwa singizia Ukraine manazi utapata support!! Na yeye alivyo bwege akakubali. Imekula kwake
Yaani US na NATO ndio dunia nzima nani kakudanganya.
 
Unaota

Mataifa yaliyopinga azimio dhidi ya Urusi​

Azimio la kuitaka Urusi kusitisha mapigano Ukraine lilipitishwa kwa kura nyingi ambapo mataifa 141 yaliunga mkono azimio hilo, mataifa matano yalipinga, na mataifa mengine 35 hayakuwepo kwenye mchakato wa kupiga kura.
Mataifa ambayo yalipinga azimio hilo wakionekana kuiunga mkono hatua ya Urusi huko Ukraine Urusi yenyewe, Belarus, Syria, Korea Kaskazini na Eritrea.
'Misimano ya mataifa haya haikua mbali na mitazamo ya Urusi, haikushangaza nchi kama Belarus kuiunga mkono Urusi, ilhali ardhi yake inatumika kuhifadhi vifaa vya kijeshi na vikosi vinavyoingia kwenye mpaka wa Ukraine', alisema Beatrice Kimaro, mchambuzi wa Tanzania.
Hata kabla ya zoezi la upigaji kura kufanyika, mataifa kama India, Korea Kaskazini, Iran, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na Saudi Arabia yalionekana kimya kuonyesha misimamo yao ya wazi kuhusu mzozo huo. China yenyewe ikiwa na msimamo vuguvugu.
" China upande wake imekuwa ikicheza karata ya diplomasia ya kuuma na kupuliza kwa pande zote mbili Ukraine na Urusi. Lakini wakati ikitoa wito wa suluhisho la amani ni wazi imeshindwa kwenda mbali zaidi kulaani uvamizi wa Urusi kwa sababu nchi hizo mbili zilikuwa zote wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zenye kura ya turufu kwanza zinahitajiana katika masuala yayohusika na siasa za dunia", anasema Mohammed Abdulrahman, mchambuzi wa Tanzania kwenye moja ya makala zake zilizochapishwa na BBC kuhusu mzozo huo.

Kwanini mataifa 35 hayajapiga kura ya azimio dhidi ya Urusi?​

Miongoni mwa mataifa ambayo hayakupiga kupiga kura kati ya hayo 35 ni pamoja na Tanzania, Congo, Afrika Kusini, Burundi, Uganda, India na Mali.
Mengine baadhi ni Madagascar, Cuba, Morocco, Zimbabwe Turkmenistan, Zimbabwe na Venezuela.
Wachambuzi wanasema kutokupiga kura kunaweza kuwa na sababu nyingi.
'kwenye masuala yenye ukinzani wa namna hii, yapo mataifa ambayo huamua 'kususia', ili yasijulikane misimamo yao wazi, mengine inawezekana kwa sababu zilizokuwa nje ya uweoz wao kuhudhuria zoezi hilo, ni jambo la kawaida', alisema Raphael Kugesha, mtaalam wa masuala ya jamii anayefuatilia siasa za kimataifa kutoka Kilimanjaro, Tanzania.
Kutokupiga kura kwa mataifa hayo hakutaathiri utekelezaji wa azimio lililopitishwa na idadi kubwa ya wajumbe.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilikutana kwa dharura kwa mara nyingine kujadili hali inayoendelea kutia wasiwasi mkubwa nchini Ukraine na kupiga kura.
Lengo ni kuiwajibisha Urusi kuzingatia kanuni na sheria za kimataifa lakini Urusi imeamua kwa mara nyingine kutumia tena kura yake ya turufu kupinga azimio lolote dhidi yake.

Kura ya turufu ya Urusi ina maana gani​

Kura ya turufu kwa jina lingine kura ya veto maana yake ni ule uwezo wa haki inayopewa taifa fulani kukataza azimio lolote kupita wala kutekelezwa hata kama limekubaliwa na kupitishwa na mataifa mengi.
Yako mataifa mengi raia yanakuwa na kura hii kukataza maamuzi fulani fulani hata kama yamepitishwa na kukubaliwa na bunge.
Kwa mfano mataifa matano ya kudumu ya umoja wa mataifa yenye kura za veto ni China, Ufaransa, Uingereza, Marekani, na Urusi. Mataifa haya kila moja linaweza kuzuia maazimio yoyote ya baraza la usalama la Umoja huo.
Wengi wanaipinga kura ya veto kwa sababu inaonekana kama inakandamiza demokrasia, na kutoa nguvu kwa mataifa haya matano kufuatwa matakwa yao. Kwamba taifa moja tu linaweza kuzuia azimio lililoungwa mkono na mataifa yote wanachama. Lakini kupitia kwa azimio la 'Uniting for Peace', lililotekelezwa mfano jana, inatajwa kuwa suluhu ya kukivuka kiunzi cha kura ya veto.
Kupitia azimio hilo, la mwaka 1950 ni kwamba nchi zenye kura ya veto haziwezi kulizuia baraza kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) kuchukua hatua muhimu katika kurejesha usalama na Amani, ikiwa imeshindikana chini ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC).
'Hata baada ya Urusi kupiga kura ya Veto kuzuia baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kuchukua hatua, lakini azimio la 'Uniting for Peace', linaipa mwanya Baraza kuu la Umoja wa mataifa kuendelea na azimio hilo', alisema Beatrice Kimaro, mchambuzi wa Tanzania.
Azimio la sasa, linamaanisha kwamba Urusi imetengwa na mataifa mengi, ikionekana kuungwa na mataifa machache tu ya Belarus, Syria, Korea Kaskazini na Eritrea.
Si mara ya kwanza kwa Urusi kutumia kura ya veto katika siku za hivi karibuni, ilishafanya hivyo mwaka 2017 ilipopiga kura hiyo kuzuia kupitishwa kwa azimio katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa la kuishutumu serikali ya Syria kuhusika na shambulizi la silaha za kemikali lililosababisha vifo vya raia 80.

Watu wanasema nini na nini kinafuata baada ya kupitishwa kwa azimio hilo dhidi ya Urusi?​

Baada ya kupitishwa kwa azimio hilo, Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres alikunuliwa na vyombo vya habari akisema kwa sasa hakuna cha kupoteza muda.
"Baraza kuu la Umoja wa Mataifa limezungumza na kama Katibu Mkuu ni wajibu wangu kusimamia azimio hili na niongozwe na wito wake', alisema Guterres.
Hilo litaendelea kuiweka Urusi katika wakati mgumu wa vikwazo mbalimbali vya kiuchumi ambavyo tayari vimekwishaanza kuonyesha makali yake kwa wananchi wake.
Ni wajibu sasa wa Urusi kuamua ama kukubaliana na azimio hilo na kusisitisha uvamizi wake Ukraine au kuendelea. Iwapo ittaendelea kukaidi azimio hilo la Umoja wa mataifa ambao yenye ni mwanachama wa kudumu, Baraza lake litakutana tena kuamua hatua nyingine, ambayo huenda ikawa na madhara zaidi.
Mmoja wa Watanzania, Cadabra Junior anasema kwenye mtandao wake wa twitter kwamba vita hii ni ya wakubwa waachiwe wenyewe.
Wewe ndio unaota
Nakwambia tena mataifa ya EU yanaongoza kununua NISHATI ya RUSSIA ambayo inampa nguvu yakuitandika UKRAINE
Maneno bila vitendo hatusaidia wafanye vitendo ndio tuwaamini
Bila wao kuunga mkono RUSSIA kwenye budhaa zake leo hii mapigano yangekua hakuna tena
Hii ndo maana halisi yakuunga mkono unaunga mkono huku unasapot niunafiq MKUBWAAA
RUSSIA GOO GOO GOOO

Back
Top Bottom