Ukraine: Urusi wametukabidhi miili 210 ya wapiganaji wetu

Urusi maiti zao za wanajeshi wanauawa ukraine hawataki kuchukua wanaogopa wananchi watacharuka

Ukraine waliwaambia wawakabidhi maiti za Askari wa Urusi lakini Putin hakujibu hata kujibu anaogopa dunia itajua utitiri wa wanajeshi waliouawa hivyo wanatisha

Ukraine Haina shida kupokea maiti za.mashujaa wao waliofia vitani

Urusi kwa nini inaogopa kupokea maiti za wanajeshi wao toka Ukraine?
Chanzo cha habari yako?
 
Chanzo cha habari yako?

Russia is refusing to take back its dead soldiers to "prevent mothers, wives and daughters from learning the true scale of the war waged by Vladimir Putin", Ukraine has claimed.​

Iryna Vereshchuk, Deputy Prime Minister of Ukraine and Minister for Reintegration of Temporary Occupied Territories, said the Russians are "refusing to negotiate" on the issue.

She said Vladimir Putin is hiding the scale of the war from Russian families, who many claim were "deceived" by authorities into sending their sons to fight.

"Obviously, believing that the bodies of servicemen of the Russian Federation are not worthy to return to their homeland and be buried humanely," Ms Vereshchuk said during an all-Ukrainian telethon.

"At the same time, the Cabinet of Ministers of Ukraine has developed and approved a step-by-step procedure for their transfer.

Source : the Telegraph
 
Telegraph
Hata wakikwambia nn usiwaamini hawa na BIIBIISII sio wakuwaamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
war-movie
Ukraine Haina shida kupokea maiti za Askari wake sababu ni ushujaa wamefia vitani kupigania nchi yao iliyovamiwa

Shida iko kwa Urusi kupokea maiti za maelfu ya Askari waliouawa Ukraine inakataa kupokea sababu ya kuogopa reaction ndani ya Urusi watu hawawaoni kama mashujaa bali wavamizi waliotumwa na Putin na genge lake la ma Oligarchs
 
Ukiwasikia wabongo wanavyosimuliana hivi vita utadhani wanasimuliana issue za Simba na Yanga😂😂sijui nani katuroga
 
Russia is refusing to take back its dead soldiers to "prevent mothers, wives and daughters from learning the true scale of the war waged by Vladimir Putin", Ukraine has claimed.​

Iryna Vereshchuk, Deputy Prime Minister of Ukraine and Minister for Reintegration of Temporary Occupied Territories, said the Russians are "refusing to negotiate" on the issue.

She said Vladimir Putin is hiding the scale of the war from Russian families, who many claim were "deceived" by authorities into sending their sons to fight.

"Obviously, believing that the bodies of servicemen of the Russian Federation are not worthy to return to their homeland and be buried humanely," Ms Vereshchuk said during an all-Ukrainian telethon.

"At the same time, the Cabinet of Ministers of Ukraine has developed and approved a step-by-step procedure for their transfer.

Source : the Telegraph
Western Propaganda
 
Yaani navuta picha ila siipati, unaua watu 210 halafu unaenda kukabidhi kwa wapendwa wao.

Unaendaje endaje kuipeleka hiyo miili.!!

Anaeitoa/kabidhi na mpokeaji wanakua katika hali gani.
Mfano mimi unaniletea hiyo miili naipokea halafu naanza na wewe kuzichapa.!
 
Ukraine Haina shida kupokea maiti za Askari wake sababu ni ushujaa wamefia vitani kupigania nchi yao iliyovamiwa

Shida iko kwa Urusi kupokea maiti za maelfu ya Askari waliouawa Ukraine inakataa kupokea sababu ya kuogopa reaction ndani ya Urusi watu hawawaoni kama mashujaa bali wavamizi waliotumwa na Putin na genge lake la ma Oligarchs
it sound something, but hata warusi walikuwa wanapigania usalama wa nchi yao...they have a reason to fight.! Vita ni hatua na kitendo cha kumuacha Ukraine ajiunge na mabwana wale ilikuwa ni hatua kubwa sana kwa mabwana wale kuja kui-defeat Urusi siku za usoni.
 
Kwa hiyo nikuamini wewe muuza mbege
Muamini huyu
FB_IMG_16542554697688120.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukraine Haina shida kupokea maiti za Askari wake sababu ni ushujaa wamefia vitani kupigania nchi yao iliyovamiwa

Shida iko kwa Urusi kupokea maiti za maelfu ya Askari waliouawa Ukraine inakataa kupokea sababu ya kuogopa reaction ndani ya Urusi watu hawawaoni kama mashujaa bali wavamizi waliotumwa na Putin na genge lake la ma Oligarchs
RUSSIAN mashujaa wakubwa huko makwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nizaidi ya hio huruma yenyewe
RUSSIA niwakupigiwa mfano kama GAIDI kisa upo kwako ndio uachwe hai
MAGAIDI wa KINAZI wanatakiwa wapokonywe roho zao popote walipo hatakama wapo vyumbani mwao
RUSSO RUSSO RUSSO

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh ulipata ngap somo la uraia ? zero brain
 
Back
Top Bottom