Ukraine: Urusi wametukabidhi miili 210 ya wapiganaji wetu

Ukraine: Urusi wametukabidhi miili 210 ya wapiganaji wetu

You are kidding boy. Yaani maelezo uliyoaandika ndio kosa hilo ulilosema?

Yaonesha we ni mweupe kiasi gani, kasome "The Rome Statute".

Sent using Jamii Forums mobile app
wale wa st kayumba utawajua tu , rudi form one kasome topic ya nation & state ujue vipengele vinavyofany sehen iitwe nchi na taifa , ukielewa rud ufute uchaf huu
 
Dunia gani inayomuunga mkono UKRAINE labda DUNIA ya MAGHARIBI sio DUNIA nzima

Katika mataifa yanayounga mkono kinachoendelea UKRAINE mataifa yakwanza ni hao hao WESTERN sababu wanachangia mabilioni ya RUBO ili RUSSIA wakamilishe OP yao inayoenda vyema mpaka sasa

Wasio muunga mkono niwaliomuekea vikwazo tu ukitoa mataifa ya EU nitajie mataifa 15 yalomuekea RUSSIA vikwazo tujue munaiongelea DUNIA ipi

Kwenu DUNIA niwamagharibi ila kwetu DUNIA nimajorities ya watu namataifa ambayo wengi na mengi yapo na RUSSIA kwa 100000%

Kama kweli DUNIA inaungana na UKRAINE waanze wamagharibi kugomea mafuta mbolea na NAFAKA kadhaa tokea RUSSIA

RUSSIA taifa TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
majority hamna influence dunian , hao minority wamemkaba mbav huyo shost enu analalama atolewe vikwazo
 
Dunia nzima ilikuwa kinyume na manazi walikuwa na Urusi vita ya dunia

Hushangai Ukraine kuungwa mkono na dunia na Russia kutoungwa mkono na kelele zake za kuita Ukraine manazi?

Putin bwege alidhani aki wa brand Ukraine kuwa manazi angeungwa mkono na dunia kirahisi

Dunia imegoma cheap propaganda yake
Dunia iko nyuma ya Ukraine

Urusi ya sasa Haina wataalam wa propaganda convincing kumejaa mabwege tu ndio yalimdanganya Putin kuwa singizia Ukraine manazi utapata support!! Na yeye alivyo bwege akakubali. Imekula kwake
Hasira imekushika!
 
Labda hiyo dunia unayo sema wewe ni dunia ya wagagagigikoko
 
it sound something, but hata warusi walikuwa wanapigania usalama wa nchi yao...they have a reason to fight.! Vita ni hatua na kitendo cha kumuacha Ukraine ajiunge na mabwana wale ilikuwa ni hatua kubwa sana kwa mabwana wale kuja kui-defeat Urusi siku za usoni.
Sasa Russia kalianzisha majibu tayari.kaanza kuyapata usalama wa Russia officially sasa uko hatarini

Kaanza vita kibwege tu kisa Kaota kuwa iko siku Ukraine itamshambulia huwezi kuanzisha vita kwa kuota

Hii no vita pekee toka dunia iwepo ambayo mtu anaanzisha vita kisa kaota kuna siku nitakuja kushambuliwa
 
Unaua mtu nyumbani kwake halafu unakabidhi maiti kwa ndugu zake hicho ni kitendo cha huruma?
Hao Askari wameuawa na Urusi wakiwa nyumbani kwao Ukraine

Huo ni uhalifu wa kivita dhidi ya binadamu
Huruma kubwa sana mkuu yaani mpaka moyo unatetemeka kwa huzuni Warussia watu wazuri sana
 
Back
Top Bottom