Ukraine: Urusi wametukabidhi miili 210 ya wapiganaji wetu

You are kidding boy. Yaani maelezo uliyoaandika ndio kosa hilo ulilosema?

Yaonesha we ni mweupe kiasi gani, kasome "The Rome Statute".

Sent using Jamii Forums mobile app
wale wa st kayumba utawajua tu , rudi form one kasome topic ya nation & state ujue vipengele vinavyofany sehen iitwe nchi na taifa , ukielewa rud ufute uchaf huu
 
majority hamna influence dunian , hao minority wamemkaba mbav huyo shost enu analalama atolewe vikwazo
 
Hasira imekushika!
 
Labda hiyo dunia unayo sema wewe ni dunia ya wagagagigikoko
 
Sasa Russia kalianzisha majibu tayari.kaanza kuyapata usalama wa Russia officially sasa uko hatarini

Kaanza vita kibwege tu kisa Kaota kuwa iko siku Ukraine itamshambulia huwezi kuanzisha vita kwa kuota

Hii no vita pekee toka dunia iwepo ambayo mtu anaanzisha vita kisa kaota kuna siku nitakuja kushambuliwa
 
Unaua mtu nyumbani kwake halafu unakabidhi maiti kwa ndugu zake hicho ni kitendo cha huruma?
Hao Askari wameuawa na Urusi wakiwa nyumbani kwao Ukraine

Huo ni uhalifu wa kivita dhidi ya binadamu
Huruma kubwa sana mkuu yaani mpaka moyo unatetemeka kwa huzuni Warussia watu wazuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…