Ukraine waandaa mchakato wa kutumia kamikaze drones 10,000 dhidi ya Urusi, kama mvua vile

Mwaka wa pili sasa
Kila siku uwakumbusha watu kwamba iliwachukua Wamerikani miakan 20 kupigana vita na wa VietnamCong hata na Wateliban - what is two years by comparison, lakini kuna watu bado watabishi tu!!
 
Napenda jinsi huwa mnaaminishana pumba huko, ila ndio hivyo mpaka sasa ardhi imerejeshwa nyingi sana ustadhi.
Hizo cluster bombs ni hatari sana.
Sema shughuli imechukua muda kidogo maana Warusi walikua wamefukia mabomu mengi ardhini, sasa kila wakipigwa na kukimbia, Ukraine wanabaki wakitengua hayo mabomu.
Wakati inalejeshwa ulikuwepo? Vita(hasa vile),siyo mechi ya simba na yanga bwana. Una asilimia ngapi ya uhalisia wa taarifa mnazopewa?
 
Kama hii ingekuwa kweli wasingetangaza wengezi launch kimya kimya - FYI Urusi ina mfumo mahili wa ku-sweep Drones swarms from the air like flies - hapo Ukraine wanajipa imani tu -walisha shindwa kwa kila nyanja ya vita hii lilo baki wamuombe msamaha Putin ili warndeleebkuishi kama ndugu na rafiki kama zamani - wasikubali kutumika kujatibia silaha za NATO kama mazezeta - NATO inawatumia tu kama kafara ya silaha zao - Zelensky hilo halitambui au naye nipart of this game hajali Waukraine wenzake - anamsikiliza Joe Biden Basi.

Wamekuwa waki luanch drones zinapiga hadi ikulu kwa Putin, mbona msiwe mnafuatilia haya mambo sheikh, badala ya kutegema vijiweni huko.
Halafu hizi drones 10,000 ni mpango unaoendelea, tulia hapo Urusi itapata mvua ya drones hivi karibuni.
 
Wamekuwa waki luanch drones zinapiga hadi ikulu kwa Putin, mbona msiwe mnafuatilia haya mambo sheikh, badala ya kutegema vijiweni huko.
Halafu hizi drones 10,000 ni mpango unaoendelea, tulia hapo Urusi itapata mvua ya drones hivi kribuni.
Sisi tuna reason za kisayansi,lakini watu kama nyinyi wenye hulka za mawazo ya vijiweni ni watu kama nyinyi ambao hamna habari kwamba Urusi ikihamua kuwasha mitambo yake mahili ya EWS hakuna any military flying machines zitakatiza anga lake -au wewe hilo huna?? Mara ngapi tunasikia Merikani ikilalamikia kuhusu one of Russian very sophisticated EWS (Krasukha) sijui kama umewahi kusikia hata sifa zake hata siku moja - upo upo tu na adithi zako za Abunwasi - eti Ukraine wanampango wa ku-launch 10,000 at a go, what a wild dream? For a starter do you even know what it takes to controll/programm such swarms of dronres to hit their individual designated target? You have no idea, unajisemea tu kama kawaida yako.
 
Utakua hufuatilii kweli, impact ya hizo bombs imesaidia mpaka sasa ardhi imerejeshwa nyingi.
Mzee kwa mujibu wa taarifa iliyowekwa na BBC kwenye tovuti yao jana ni kuwa Counteroffensive imefeli.

Halafu mimi naona ni kama vile hawa viongozi wa Ukraine ni wapigaji. Moja ya element ya mpigaji ni kuhype mambo ambayo baadae yakichemka hutoa visingizio vya kijuha. Na kuja na jambo jingine kwa style ile ile.

ukraine inatangaza kuanza operation, inaeleza mbinu na silaha. Inawajaza matumaini raia wake, baadae inafail na kulaumu ngome ya kujihami ya adui!

Kwanini wanatangaza offensive zao? Hawa watawala wa Ukraine wananufaika na 'unending war'.
 
Senselessky is already stinking rich kutokana na vita hii, kesha nunua a very posh MANSION in Miami Florida na wanafanya vile vile biashara ya kuuza silaha za magendo kwa vikundi vya kigaidi mashariki yakati na kwingineko
 
Sisi tuna reason za kisayansi,lakini watu kama nyinyi wenye hulka za mawazo ya vijiweni ni watu kama nyinyi ambao hamna habari kwamba Urusi ikihamua kuwasha mitambo yake mahili ya EWS hakuna any military flying machines zitakatiza anga lake -au wewe hilo huna?? Mara ngapi tunasikia Merikani ikilalamikia kuhusu one of Russian very sophisticated EWS (Krasukha) sijui kama umewahi kusikia hata sifa zake hata siku moja - upo upo tu na adithi zako za Abunwasi - eti Ukraine wanampango wa ku-launch 10,000 at a go, what a wild dream? For a starter do you even know what it takes to controll/programm such swarms of dronres to hit their individual designated target? You have no idea, unajisemea tu kama kawaida yako.

Mlioshikiliwa akili kama wewe sheikh haujui chochote kisayansi, drones za Ukraine zinajipigia Urusi kila siku naleta nyuzi..... miaka miwili sasa, subiri hizi 10,000 zianze kupaa ndio mtakoma.
Ona drone inavyojipigia daraja la mtume wenu Putin Video: Jinsi daraja la Crimea lilipigwa na drone
 
Mzee kwa mujibu wa taarifa iliyowekwa na BBC kwenye tovuti yao jana ni kuwa Counteroffensive imefeli.

Halafu mimi naona ni kama vile hawa viongozi wa Ukraine ni wapigaji. Moja ya element ya mpigaji ni kuhype mambo ambayo baadae yakichemka hutoa visingizio vya kijuha. Na kuja na jambo jingine kwa style ile ile.

ukraine inatangaza kuanza operation, inaeleza mbinu na silaha. Inawajaza matumaini raia wake, baadae inafail na kulaumu ngome ya kujihami ya adui!

Kwanini wanatangaza offensive zao? Hawa watawala wa Ukraine wananufaika na 'unending war'.

Imefeli kivipi wakati kila siku tunaona na matokeo? Jielimisheni kinachoendelea bila mihemko ya kidini.
 
Katibu Mkuu wa NATO anasema Russia inamiliki 20% ya ardhi ya Ukraine, na NATO inawaza kukubali kuwaachia. Halafu wewe unakaza shingo.

Hehehe mnachekesha ustadhi, drones 10,000 zitapaa kama mvua kwa Warusi.
 
Mzee kwa mujibu wa taarifa iliyowekwa na BBC kwenye tovuti yao jana ni kuwa Counteroffensive imefeli.

Halafu mimi naona ni kama vile hawa viongozi wa Ukraine ni wapigaji. Moja ya element ya mpigaji ni kuhype mambo ambayo baadae yakichemka hutoa visingizio vya kijuha. Na kuja na jambo jingine kwa style ile ile.

ukraine inatangaza kuanza operation, inaeleza mbinu na silaha. Inawajaza matumaini raia wake, baadae inafail na kulaumu ngome ya kujihami ya adui!

Kwanini wanatangaza offensive zao? Hawa watawala wa Ukraine wananufaika na 'unending war'.
Nina uhakika MK-254 hajawahi hata kusoma/sikia kitabu maarufu kilicho tungwa na Fyodor Dostoevsky "Brothers Kramasov," thanks for reminding me that book including crime and punishment - although this is besides the point lakini message imetumwa na kuwafikia walengwa.
Mlioshikiliwa akili kama wewe sheikh haujui chochote kisayansi, drones za Ukraine zinajipigia Urusi kila siku naleta nyuzi..... miaka miwili sasa, subiri hizi 10,000 zianze kupaa ndio mtakoma.
Ona drone inavyojipigia daraja la mtume wenu Putin Video: Jinsi daraja la Crimea lilipigwa na drone

Sojui unazungumza vitu gani - hapa tunabishana kwamba uwezi kulaunch 10,000 swarms of drones kirahisi unless unazungumzia DIY micro drones za Amazon, Ali Baba na eBay labda kama unazungumzia micro drones ambazo hazina impact yoyote kwenye vita hii - NATO na kilaja wao mkuu wakubali kushindwa hii vita hawana jinsi - propaganda zao hazitawafikisha popote zaidi ya kuwatoa kafara raia wa Ukraine na some NATO troops kufanyia majaribio ya silaha zao ambazo zinawatia aibu kila siku - karibu zote zinatiwa kiberiti na silaha za Urusi mchana kweupe Dunia ikishuhudia kwenye luninga. Tatizo lako wewe unazungumzia lucky shot as if is everything - kwenye vita hiyo huwa inatokea lakini uwezi kuserma Ukraine na mabwana zake wana uwezo wa kuifanya lolote Urusi na Urusi ikihamua kufanya kweli Ukraine nzima itageuzea kwenye stone age era na wala USA haitaifanya lolote Russia - mark my word.
 
Katibu Mkuu wa NATO anasema Russia inamiliki 20% ya ardhi ya Ukraine, na NATO inawaza kukubali kuwaachia. Halafu wewe unakaza shingo.
Huyu akili zake uzijuaga yeye mwenyewe - ana ubishi wa kitoto toto, mambo mengi wala hayajui kiundani, tumuache alivyo.
 
Nina uhakika MK-254 hajawahi hata kusoma/sikia kitabu maarufu kilicho tungwa na Fyodor Dostoevsky "Brothers Kramasov," thanks for reminding me that book including crime and punishment - although this is besides the point lakini message imetumwa na kuwafikia walengwa.

Sojui unazungumza vitu gani - hapa tunabishana kwamba uwezi kulaunch 10,000 swarms of drones kirahisi unless unazungumzia DIY micro drones za Amazon, Ali Baba na eBay labda kama unazungumzia micro drones ambazo hazina impact yoyote kwenye vita hii - NATO na kilaja wao mkuu wakubali kushindwa hii vita hawana jinsi - propaganda zao hazitawafikisha popote zaidi ya kuwatoa kafara raia wa Ukraine na some NATO troops kufanyia majaribio ya silaha zao ambazo zinawatia aibu kila siku - karibu zote zinatiwa kiberiti na silaha za Urusi mchana kweupe Dunia ikishuhudia kwenye luninga. Tatizo lako wewe unazungumzia lucky shot as if is everything - kwenye vita hiyo huwa inatokea lakini uwezi kuserma Ukraine na mabwana zake wana uwezo wa kuifanya lolote Urusi na Urusi ikihamua kufanya kweli Ukraine nzima itageuzea kwenye stone age era na wala USA haitaifanya lolote Russia - mark my word.

Wewe endelea kuandika hizi insha zako ila Mrusi anapokea kichapo cha drones, zipo zinaandaliwa 10,000 ukizingatia hizi chache za sasa zinavyomtesa Putin kama hii
 
Urusi ijiandae kwa mvua ya drones.....
Warusi walikosea sana kuanzisha huu ugomvi bila kushirikisha ubongo.....

Mykhailo Fedorov, Ukraine's Minister of Digital Transformation, has announced a UAH 235 million (US$6.3 million) fundraising campaign to buy 10,000 kamikaze drones.

Source: Fedorov on Telegram

Quote: "We are launching Operation Unity! UNITED24 [government initiative], Come Back Alive [foundation], and Monobank are joining forces to raise UAH 235 million for 10,000 kamikaze drones."

Update: Over UAH 30 million (approx. US$797,000) was raised in less than two and a half hours. As of 12:52 (Kyiv time), we have raised UAH 35 million (approx. US$930,000).

Details: The minister added that FPV drones will be purchased abroad, and in Ukraine, they will be equipped with combat payloads worth a total of roughly US$1.5 million: "These are the drones that are needed at the frontline. They change the course of events."

Everyone who makes a contribution has a chance to get a platinum Monobank card, a meeting with UNITED24 ambassadors, and military souvenirs from Come Back Alive.

Background
: The fundraising platform emphasised that this is the first fundraising campaign during the war in which UNITED24, Come Back Alive and Monobank are participating together.
Kamikaze zinatengenezwa iran ukraine kazipata wapi
 
Shida ya Ukraine ni wanaongea sana, kila mpango wao wanaweka hadharani na hivyo Urusi anajipanga na namna ya kukubiliana na hatua husika. Taarifa za counter offensive zilianza kutolewa muda mrefu na Urusi akajichimbia kwelikweli kuisubiri, ijapokuwa Ukraine anasonga mbele ila kwa shida.
Vingine wanyamaze Mrusi akutane navyo kwenye vita.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Ushawahi kukutana na dem ukashindwa kupiga mechi, huwa maneno hayaishi mdomoni
 
Kama switchblade zimefeli kwa mrusi msitegemee drone zingine zikafanya vyzuri switchblade suicide drone ndo zilikuwa drone bora kabisa sababu zilikuwa na accuracy ya 98%
 
Wewe endelea kuandika hizi insha zako ila Mrusi anapokea kichapo cha drones, zipo zinaandaliwa 10,000 ukizingatia hizi chache za sasa zinavyomtesa Putin kama hii
Source the SUN Uingereza huna hata habari kwamba watu wenyeakili zao timamu hawasomi/nunua nagazeti ya udaku ya Uingereza mfano: the SUN,Daily Mirror etc wanasoma broadsheet papers na sio tabloids - sina hakika kama hata unajua tofautia za media hizo mbili - wewe ni copy cat tu basi na kujitia kutafsiri vitu ambavyo unaonekana ni mbumbumbu tu.
 
Back
Top Bottom