Ukraine waandaa mchakato wa kutumia kamikaze drones 10,000 dhidi ya Urusi, kama mvua vile

Hehehe mnachekesha ustadhi, drones 10,000 zitapaa kama mvua kwa Warusi.
Tuliambiwa hivyo kuhusu vifaru vya Uingereza ba Ujerumani Wamerukani walivyo. wajanja wakafucha vya kwao hawakuvuoeleka huko Ukraine kwa kuogopa kuona aibu vikitiwa kiberiti na silaha za Urusi hivi sasa hatusikii tena vifaru vya challenger,Leopard wala Abram ambavyo wala havikujanyaga airidhi ya Ukraine USA waliona aibu vifaru vyao kutiwa viberiti Ukraine kwa silaha za Urusi wakaja kukosa soko naagaruja ya kati na mashariki ya mbali - vita hii imetufundisha mengi kuhusu mbwembwe za NATO na propaganda zao na vitisho wakati silaha zao na troops wao wanaonekana kupwaya sana.
 

Wewe leta source ya uarabuni tutakuamini.
 

Vifaru ya Uingereza na Ujerumani ndio vimebadilisha mkondo, leo hii Urusi wanakimbia na kuachia maeneo, jielimishe Waingereza na Wajerumani ni watu makini sana sio kama wale waarabu wenu, chochote wanapokeza kinafanya kazi ipasavyo.
Njoo andika insha huku Jengo kubwa la maonyesho Moscow, Urusi ndani lapigwa bomu ya drone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…