Ukraine waapa kutoachia hata kipande cha ardhi, waendelea kusonga mbele

Ukraine waapa kutoachia hata kipande cha ardhi, waendelea kusonga mbele

Huo msaada wa Iran umeshapatiwa suluhu, sijui atakimbilia wapi kwingine.
Kipigo kinaendelea hizo ni toys Tu kwa warusi angalia kipigo kinaendelea.source BBC
Screenshot_20221109-132440.jpg
 
Mrusi kwa sasa hawezi kuthubutu kurusha ndege Ukraine, zimepigwa chini mamia za ndege hadi amechoka, ameshindwa air dominance, siku zote kama supapawa ukitaka kushinda vita lazima utambe kwenye anga kwanza, Mrusi kwa sasa yuko hoi.
Angalia mfano wa air dominance hapa, kile Iraq walifanywa kipindi cha Gulf war....msafara ulifyekwa hadi waarabu wenu wakaomba po

Basra.jpg
Urusi inaweza kurusha kombora kwa ndege ikiwa Moscow na likatua Lviv mpakani na Poland.

Acha ukichwa ngumu
 
Sio rahisi hivyo, Vita itaweza kudumu muda mrefu sana, tumia vyombo vya habari vya pande zote mbili, kumbuka vyombo vya magharibi haviwezi kuripoti kichapo cha ukraine na vyombo vya upande mngine haviwezi kuripoti kichapo cha URUSI

Raisi wa ufaransa, Macron alisema vizuri sana "Ukrainians will decide when peace is possible"

Na ujerumani juzi, WALISEMA: "It's up to Ukraine to decide on time for peace talks with Russia

Mwisho wa siku SIO NATO wala MAREKANI wala ULAYA ni UKRAINE wenyewe kujipimia KWAMBA wanaweza au hawawezi?

Hata wewe pia wawasemea UKRAINE kwamba wapambane lakini wao WENYEWE ndio WAAMUZI siamini kama watu wa UKRAINE wanamuogopa ZELENSKY japo ZELENSKY anafuata order za MAREKANI

Kazi kwenu wana UKRAINE mziki MNAUWEZA?

SISI waafrika tumezoea MANENO TU [emoji16][emoji16]
Ukraine wanapigania ardhi ya mababu na mababu zao,wanapigania Taifa lao,wana kila sababu ya kupigana na kuifia Nchi yao wakiilinda,tuambie huyo Russia hao wanaokufa huko Ukraine wanajua hata kinachowafanya wafe au wanapigania maslahi binafsi ya Putin.
 
Wanajeshi wa Urusi wameuawa idadi zaidi ya jeshi lote la JWTZ, anywa gongo mliokusanya nao wanauawa balaa....hamna namna Ukraine hawaachii ardhi yao

Jamaa unachekesha sana. Ukraine kapata loss isiyo na mfano. Kichapo kikubwa sana
 
Jamaa unachekesha sana. Ukraine kapata loss isiyo na mfano. Kichapo kikubwa sana

Hiyo loss unajua wewe, ila mtume wenu Putin alikua aparamie Ukraine kwa siku tano, kilichomkuta hatokaa asahau.
 
Naona kaamua kuendelea kuwatoa wananchi wake sadaka maana hata wafadhili wake nao wameanza kuchoka kumpatia sihala zaidi maana wanaona haxileti mabadiliko yoyote. Acha aendelew kuchapika tu

Vita yoyote ile it comes with a cost. Peoples will die. hiyo ni occupation hazard
 
Sio rahisi hivyo, Vita itaweza kudumu muda mrefu sana, tumia vyombo vya habari vya pande zote mbili, kumbuka vyombo vya magharibi haviwezi kuripoti kichapo cha ukraine na vyombo vya upande mngine haviwezi kuripoti kichapo cha URUSI

Raisi wa ufaransa, Macron alisema vizuri sana "Ukrainians will decide when peace is possible"

Na ujerumani juzi, WALISEMA: "It's up to Ukraine to decide on time for peace talks with Russia

Mwisho wa siku SIO NATO wala MAREKANI wala ULAYA ni UKRAINE wenyewe kujipimia KWAMBA wanaweza au hawawezi?

Hata wewe pia wawasemea UKRAINE kwamba wapambane lakini wao WENYEWE ndio WAAMUZI siamini kama watu wa UKRAINE wanamuogopa ZELENSKY japo ZELENSKY anafuata order za MAREKANI

Kazi kwenu wana UKRAINE mziki MNAUWEZA?

SISI waafrika tumezoea MANENO TU [emoji16][emoji16]
Pole Mkuu, najua unaumia lakini ndo ukweli huo.... Operesheni maalum ya kijeshi inaelekea kuisha kwa AIBU kubwa.
 
Back
Top Bottom