Ukraine waapa kutoachia hata kipande cha ardhi, waendelea kusonga mbele

Urusi inaweza kurusha kombora kwa ndege ikiwa Moscow na likatua Lviv mpakani na Poland.

Acha ukichwa ngumu
 
Ukraine wanapigania ardhi ya mababu na mababu zao,wanapigania Taifa lao,wana kila sababu ya kupigana na kuifia Nchi yao wakiilinda,tuambie huyo Russia hao wanaokufa huko Ukraine wanajua hata kinachowafanya wafe au wanapigania maslahi binafsi ya Putin.
 
Wanajeshi wa Urusi wameuawa idadi zaidi ya jeshi lote la JWTZ, anywa gongo mliokusanya nao wanauawa balaa....hamna namna Ukraine hawaachii ardhi yao

Jamaa unachekesha sana. Ukraine kapata loss isiyo na mfano. Kichapo kikubwa sana
 
Jamaa unachekesha sana. Ukraine kapata loss isiyo na mfano. Kichapo kikubwa sana

Hiyo loss unajua wewe, ila mtume wenu Putin alikua aparamie Ukraine kwa siku tano, kilichomkuta hatokaa asahau.
 
Naona kaamua kuendelea kuwatoa wananchi wake sadaka maana hata wafadhili wake nao wameanza kuchoka kumpatia sihala zaidi maana wanaona haxileti mabadiliko yoyote. Acha aendelew kuchapika tu

Vita yoyote ile it comes with a cost. Peoples will die. hiyo ni occupation hazard
 
Pole Mkuu, najua unaumia lakini ndo ukweli huo.... Operesheni maalum ya kijeshi inaelekea kuisha kwa AIBU kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…