Ukraine wafanya mashambulizi makali kwa kutumia HIMARS, mvua ya mizinga Kherson

Kwanini sasa Ukraine anakosa adabu namna iyo
 
Jaribio la kuikomboa khersan limeshindwa tena zaidi ya wanajeshi 560 wa ukraine wamechinjwa hapo hapo

During the day on direct orders from Zelensky, Ukrainian troops attempted an offensive in 3 directions in Nikolaev and Kherson regions.

▫️As a result of the active defence of the Russian troops grouping, AFU units suffered heavy losses.

💥During the fighting, 26 Ukrainian tanks, 23 infantry fighting vehicles, 9 other armoured fighting vehicles were destroyed and 2 Su-25 assault aircraft were shot down. Enemy casualties in manpower amounted to over 560 servicemen. Another enemy offensive attempt failed miserably.- MoD
 
Hili ni pigo takatifu Ukraine kupewa na urusi


The enemy lost more than 560 servicemen: Russian Defense Ministry
 
Zelensky kasema kuwa hawezi toa details ya kinachoendelea ila wavamizi wanajua kinachowatokea

Kawaambia wanajeshi waweke silaha chini au wakutane na kifo
 
We jamaa unafuatilia mambo kweli ,au ? Unajua kinachoendelea Kherson au mpaka ichukuliwe yote ndio uamin,mziki wa leo tumeufuatilia kama pambano la ndondi ,mpaka sasa hivi Russia wanatafuta pa kutokea
Kinaendelea nini mtaisha
 
Zelensky kasema kuwa hawezi toa details ya kinachoendelea ila wavamizi wanajua kinachowatokea

Kawaambia wanajeshi waweke silaha chini au wakutane na kifo
Anahisi yupo kwenye jukwaa la maigizo
 
Apigwe nduli Putin apigweee
 
Pucha mbaaka
 
Aisee, hii ni kufuru sasa! Majeshi ya Ukraine yamejaribu kushambulia majeshi ya Urusi huko Kherson, matokeo yake Zelensky kapoteza wanajeshi zaidi ya 560, vifaru 26, armoured vehicles 32 na ndege mbili aina ya Su-25.
 
Aisee, hii ni kufuru sasa! Majeshi ya Ukraine yamejaribu kushambulia majeshi ya Urusi huko Kherson, matokeo yake Zelensky kapoteza wanajeshi zaidi ya 560, vifaru 26, armoured vehicles 32 na ndege mbili aina ya Su-25.
Source ya habari ni Russia Defense Ministry (RDM) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kweli Ukraine forces walijaribu kurudisha nyuma jeshi la Urusi na washirika wake - lakini operation yao ilishindwa vibaya sana, wanajeshi wengi wa Ukraine pamoja na mamluki wao wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa wamelazwa mahospitalini mpaka Doctors wanahaha kutafuta blood donors - hali ni mbaya sana, sijui kama Zelensky atarudia tena kufuata ushauri wa USA blindly kwa kujidanganya kwamba anaweza kurudisha aridhi na miji iliyo tekwa/kaliwa na jeshi la Putin, nina uhakika kipigo cha Kherson ndio kitakuwa fundisho la mwaka kwa Zelensky na wapambe wake uchwala pamoja na wafafhili wake kwamba Jeshi la Russian Federation ni kitu ingine kabisa likihamua kufanya kweli matokeo yake ndio hayo - na huo ni mwanzo ya ziada yanakuja.

Kama nakumbuka vizuri mwezi uliyo pita Putin aliwakumbusha mahasimu wake kwa mara nyingine tena kwamba hivi sasa Jeshi la Urusi linatumia a fraction ya uwezo wake wote - je,ni wangapi walimwelewa?? Badala yake media za magharibi zimeshupalia operation hii/Kherson as if ilikuwa ni mother of all battles - sasa subirini wiki moja ipite muone kama media za magharibi zitakuwa zinazungumzia tena operation ya jimbo la Kherson.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]USA wamesema walikuwa awajui kuhusu hii counter-offensive.sasa sijui kama ni kweli walikuwa awajui au awataki kupata aibu.

Inawezekana kuna mkuu kawauza,itabidi Zelensk achunguze vizuri makamanda wake inawezekana wapo wasaliti.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Marekani bana
 
Mrusi kagoma, kasema hamna lolote ati wapo gado na vikosi vyao vimejipanga fresh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…