Ukraine wafanya mashambulizi makali kwa kutumia HIMARS, mvua ya mizinga Kherson

Ukraine wafanya mashambulizi makali kwa kutumia HIMARS, mvua ya mizinga Kherson

Mrusi hana hamu na HIMARS, zinamtesa sana hadi leo, zimewapa jeuri Ukraine kiasi cha wao kuanzisha mashambulizi wenyewe tofauti na awali walivyokua wanapambana kuhimili mashambulizi.....
tena walipewa short range kwa kuogopa wasije wakatungua hadi ndani ya Urusi - Mmarekani ni kitu ingine hiyo !! kuzazana naye jipange kwa karne kibao la utadhalilika kama mzee mzima !! 😀 😀 😀
 
Walete "Warusi wa mchongo wa buza".Hawachelewi kusema."kuondoka eneo husika ni mbinu za medani za kivita"Kumbe Urusi wamezidiwa 😀 😀😀
Warusi wa Buza wanakwamba Putin ana uwezo wa kupiga hata Pentagon muda wowote ila sema hataki tu 😀😀😀
 
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
USA wamesema walikuwa awajui kuhusu hii counter-offensive.sasa sijui kama ni kweli walikuwa awajui au awataki kupata aibu.

Inawezekana kuna mkuu kawauza,itabidi Zelensk achunguze vizuri makamanda wake inawezekana wapo wasaliti.

Mkuu Moh, wahusika wakuu katika mpango huu wote wa kujaribu kurudisha majimbo ya kusini mashariki mwa Ukraine yenye viwanda vikubwa,vast natural resources na mechanised agriculture, na bandari - washauri wakuu wa Zelensky katika operation za kijeshi ni Merikani na kwa mbali Uingereza - wanao wapa coordinates za designated targets za jeshi la Urusi kwa kutumia satellites za GPS wahusika kutoa taarifa hizo ni Merikani yenyewe - halafu cha kushangaza zaidi hata HIMARS system zinakuwa operated na Wamerika wenyewe hawa amini wa Ukraine kugusa HIMARS system wala kufundishwa jinsi ya kuzi operate eti wanaogopa wasaliti wasije kutoa siri jinsi zinavyo fanya kazi - ajabu sana, yaani Wamerikani hawa amani wanajeshi wa Zelensky kutumia high tech weapons zao.

Operation nzima ya jeshi la Ukraine/Zelensky huko Kherson ilitegemea zaidi USA manufactured 155mm M777 Howitzers, HIMARS (chache lakini wana habari wa MSM wanajaribu kuziwekea chumvi mno as if HIMARS ndizo zilikuwa ni mainstay ya operation nzima ya Kherson kumbe huo ni uongo mtupu, wala hawasemi kwamba siku za hivi karibuni Urusi imekwisha fanya tafiti za kutosha kuhusu jinsi ya ku-deal na roketi zinazo rushwa na HIMARS, siku hizi roketi za HIMARS zinatunguliwa kama kawa - hilo media za magharibi hawalisemi kabisaaa!!) - kwenye Operation ya Kherson vile vile jeshi la Ukraine walitumia Russian manufactured MRLS, Russian manufactured SU-25 (zote zilitunguliwa siku hiyo hiyo) na Turkish made Drones nazo zilitunguliwa - hali ilikuwa ngumu sana kwa jeshi la Ukraine lakini media za mitandaoni namely: twitter, facebook ,channels za Utube, BBC,SkyNews, CNN wanazungumza vitu tofauti kabisa,kwa lengo la kufurahisha baraza tu.

Umezungumzia kuhusu usaliti kwenye jeshi la Ukraine, uwezekano huo hupo sana ukiwekea maanani kwamba Waukraine na Warusi ni kama ndugu ambao Viongozi wao wanarubuniwa na mataifa ya magharibi ili wagombane wao kwa wao wanatumika kupigana proxy war kwa niamba ya Merikani kwa lengo la kuihujumu Urusi kiuchumi na kuidhoofisha kijeshi lakini kikubwa zaidi makampuni ya kuunda silaha huko Merikani na Uingereza wapate soko la kuuza silaha zao kwa wingi - hawajali hatma ya Waukraine wala nini sijui.
 
Jeuri ya US hii hapa.....

United States President Joe Biden plans to ask Congress to approve an estimated $1.1bn arms sale to the self-ruled island of Taiwan, including 60 anti-ship missiles and 100 air-to-air missiles, according to Politico.

$1.1bn = Trillions 2.56 Tshs.
Mchina kazi anayo !! inaitwa GUSA UNASE.
 
Live anamaanisha kupata taarifa ya kinachoendelea wakati husika siyo live huko field kama filamu. Huwa utazamani international news live?
Wana akili nzito balaa hao
 
  • Thanks
Reactions: Tsh

Yaani yupo Ukraine, na muda huohuo Taiwan anataka kwenda, jamaa hapoi aiseee. Nahisi yeye vita ni sehemu ya maisha yake.
 
Yaani yupo Ukraine, na muda huohuo Taiwan anataka kwenda, jamaa hapoi aiseee. Nahisi yeye vita ni sehemu ya maisha yake.
Yeah....yaani uone namna utakavyoumia kama ukishajichanganya kwa Taifa kubwa. Cha msingi mshauri babako Putin aombe poo yaishe ataumiza mno warusi wenzake.
 
Mrusi hana hamu na HIMARS, zinamtesa sana hadi leo, zimewapa jeuri Ukraine kiasi cha wao kuanzisha mashambulizi wenyewe tofauti na awali walivyokua wanapambana kuhimili mashambulizi.....

Ukraine appears to have launched a major new offensive against Russian-occupied territory around Kherson, a strategically critical city near Crimea, in one of the first major tests of Kyiv’s ability to gain an edge in the burgeoning stalemate as Moscow’s own military shortcomings mount.
The offensive to retake Kherson, the regional capital, began with long-range artillery strikes using U.S.-supplied HIMARS precision satellite-guided rocket systems to attack Russian strongholds but also against positions and formations of pro-Russian troops at the front, marking a shift in Ukraine’s recent tactics. Reports emerged almost immediately late Monday local time that elements of those forces were abandoning their posts and retreating.

Several officials in Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy’s confirmed the offensive, which analysts had predicted in recent days following heightened shelling against Russian military installations there, particularly Sunday evening.
Ukraine appears to have launched a major new offensive against Russian-occupied territory around Kherson
Sentensi hiyo hapo juu ndio inayotia shaka habari nzima. Halafu kama wamewacha Warusi si waoneshe hata vifaru viwili au vitatu! Inavyoonekana ni Propaganda ya kuwapa morali wanajeshi wa Ukraine waliopo sehemu mbalimbali za mstari wa mbele. Mwisho, ni wiki karibu yanne sasa tuanaambiwa Wanajeshi wa Ukraine wameizingira Kherson!
 
Jamaa hawa wasanii mwanzo mwisho, kwa mfano jana Zelensky anawashauri raia eti wasitumie smart phone zao kuonyesha wanajeshi wa Ukraine wakiji weka tayari kushambulia majeshi ya Urusi, wala wasitaje kijiji au mji utakao tumika kupiga makombora na maroketi dhidi ya majeshi ya Urusi, wasipige picha a video zinazo onyesha type ya silaha zinatazo tumiwa kufanya mashambulizi ya kushtukiza. Zelensky bwana ukimsikiliza na burudani tosha - usanii anauweza sana sana.
 
Putin mavi yanagonga chupi . Aliyeshauri wavamie Ukraine ataashaa
 
Ni kweli Ukraine forces walijaribu kurudisha nyuma jeshi la Urusi na washirika wake - lakini operation yao ilishindwa vibaya sana, wanajeshi wengi wa Ukraine pamoja na mamluki wao wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa wamelazwa mahospitalini mpaka Doctors wanahaha kutafuta blood donors - hali ni mbaya sana, sijui kama Zelensky atarudia tena kufuata ushauri wa USA blindly kwa kujidanganya kwamba anaweza kurudisha aridhi na miji iliyo tekwa/kaliwa na jeshi la Putin, nina uhakika kipigo cha Kherson ndio kitakuwa fundisho la mwaka kwa Zelensky na wapambe wake uchwala pamoja na wafafhili wake kwamba Jeshi la Russian Federation ni kitu ingine kabisa likihamua kufanya kweli matokeo yake ndio hayo - na huo ni mwanzo ya ziada yanakuja.

Kama nakumbuka vizuri mwezi uliyo pita Putin aliwakumbusha mahasimu wake kwa mara nyingine tena kwamba hivi sasa Jeshi la Urusi linatumia a fraction ya uwezo wake wote - je,ni wangapi walimwelewa?? Badala yake media za magharibi zimeshupalia operation hii/Kherson as if ilikuwa ni mother of all battles - sasa subirini wiki moja ipite muone kama media za magharibi zitakuwa zinazungumzia tena operation ya jimbo la Kherson.
Kujoa ukalale
 
Jeuri ya US hii hapa.....

United States President Joe Biden plans to ask Congress to approve an estimated $1.1bn arms sale to the self-ruled island of Taiwan, including 60 anti-ship missiles and 100 air-to-air missiles, according to Politico.

$1.1bn = Trillions 2.56 Tshs.
Mchina kazi anayo !! inaitwa GUSA UNASE.

Wachina wana akili sana na hekima, Taiwan wanaweza kukubali kupokea silaha hizo lakini hawatazitumia dhidi ya China - Wataiwan wanajua vizuri sana kwamba Uncle SAM anataka kuwatumia wapigane a proxy war na Uchina on behalf ya Merikani yenyewe Taiwanese are not suicidal wana akili zao timamu - ya Ukraine hayawezi kujirudia huko Taiwan, kwanza Ukraine ni Taifa kubwa kieneo ni la pili barani Ulaya nyuma ya Urusi,walikuwa wanaongoza kuwa na jeshi kubwa barani Ulaya na silaha nyuma ya Russia - Wataiwan wakijitia kutaka kushindana/tishia kijeshi China mainland basi Taiwan watapata fundisho la mwaka kutoka kwa PLA na hawatachukua round western military help notwithstanding.
 
Live anamaanisha kupata taarifa ya kinachoendelea wakati husika siyo live huko field kama filamu. Huwa utazamani international news live?
Naona umekua mkalimani Wake wakati yeye kakubali ni live [emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Jeuri ya US hii hapa.....

United States President Joe Biden plans to ask Congress to approve an estimated $1.1bn arms sale to the self-ruled island of Taiwan, including 60 anti-ship missiles and 100 air-to-air missiles, according to Politico.

$1.1bn = Trillions 2.56 Tshs.
Mchina kazi anayo !! inaitwa GUSA UNASE.
Wananchi wake wanakufa njaa yeye yupo bize kupambana na china na urusi kwani ndio waliomsababishia njaa? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani yupo Ukraine, na muda huohuo Taiwan anataka kwenda, jamaa hapoi aiseee. Nahisi yeye vita ni sehemu ya maisha yake.
Hajui China hana haja na Taiwan anamtia jambajamba tu ili aumize uchimi wake kuwekeza kule china yeye anajipalia zake kiuchumi, kuja kushtuka kaachwa mbaliii
Na hii mipango wanapanga na putin anateketeza matrilion Ukraine na kwingineko huku us wakifa njaa,
Na vita ya Ukraine haiishi leo wala kesho adi akimbie kama kule Afghanistan
 
Mrusi hana hamu na HIMARS, zinamtesa sana hadi leo, zimewapa jeuri Ukraine kiasi cha wao kuanzisha mashambulizi wenyewe tofauti na awali walivyokua wanapambana kuhimili mashambulizi.....

Ukraine appears to have launched a major new offensive against Russian-occupied territory around Kherson, a strategically critical city near Crimea, in one of the first major tests of Kyiv’s ability to gain an edge in the burgeoning stalemate as Moscow’s own military shortcomings mount.
The offensive to retake Kherson, the regional capital, began with long-range artillery strikes using U.S.-supplied HIMARS precision satellite-guided rocket systems to attack Russian strongholds but also against positions and formations of pro-Russian troops at the front, marking a shift in Ukraine’s recent tactics. Reports emerged almost immediately late Monday local time that elements of those forces were abandoning their posts and retreating.

Several officials in Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy’s confirmed the offensive, which analysts had predicted in recent days following heightened shelling against Russian military installations there, particularly Sunday evening.
Hii ni Picha ya Rambo au unasimulia uhalisia yaan nmeona title nikaingia ndani uliçhokielezea nmebaki nmetulia kwanza nimalizie mtori wangu
 
Hahaha!! Mlianza kwa vicheko na shangwe, mziki umebadilika na mpaka kitaeleweka....
Bwana Utam Urusi taifa teule takbirrr....
Umeona kilichowapata wenzenu leo? Waliwekewa mtego wakanasa!

Kazi ni moja tu, kuwapukutisha kama mchwa huku tunaendelea kujimegea keki 😋😋😋
 
Back
Top Bottom