Ukraine wafanya mashambulizi makali kwa kutumia HIMARS, mvua ya mizinga Kherson

Ukraine wafanya mashambulizi makali kwa kutumia HIMARS, mvua ya mizinga Kherson

Aisee, hii ni kufuru sasa! Majeshi ya Ukraine yamejaribu kushambulia majeshi ya Urusi huko Kherson, matokeo yake Zelensky kapoteza wanajeshi zaidi ya 560, vifaru 26, armoured vehicles 32 na ndege mbili aina ya Su-25.
Mbona wapunguza idadi, wamekufa zaidi ya Elfu 30 leo
 
Ukraine appears to have launched a major new offensive against Russian-occupied territory around Kherson
Sentensi hiyo hapo juu ndio inayotia shaka habari nzima. Halafu kama wamewacha Warusi si waoneshe hata vifaru viwili au vitatu! Inavyoonekana ni Propaganda ya kuwapa morali wanajeshi wa Ukraine waliopo sehemu mbalimbali za mstari wa mbele. Mwisho, ni wiki karibu yanne sasa tuanaambiwa Wanajeshi wa Ukraine wameizingira Kherson!

Vifaru unataka vya nini, tulieni hapo hapo ngoma inaendelea, kimsingi mpaka sasa mnatia aibu sana mlijiita supapawa....
 
Umeona kilichowapata wenzenu leo? Waliwekewa mtego wakanasa!

Kazi ni moja tu, kuwapukutisha kama mchwa huku tunaendelea kujimegea keki 😋😋😋

Mtapokea kichapo hadi basi, mliingia kwenye nchi ya watu....
 
🤣🤣🤣🤣🤣 yaani pro-NATO mnavyojua kujifariji. Haya leteni sources zinazoonyesha kuwa Russia ametembezewa kichapo.
 
Hivi nyinyi pro-NATO mnafikiri vyombo vya habari vya West kama BBC, CNN, SKY NEWS, DW wangeacha kutangaza habari hiyo kama ni kweli.
 
Mrusi hana hamu na HIMARS, zinamtesa sana hadi leo, zimewapa jeuri Ukraine kiasi cha wao kuanzisha mashambulizi wenyewe tofauti na awali walivyokua wanapambana kuhimili mashambulizi.....

Ukraine appears to have launched a major new offensive against Russian-occupied territory around Kherson, a strategically critical city near Crimea, in one of the first major tests of Kyiv’s ability to gain an edge in the burgeoning stalemate as Moscow’s own military shortcomings mount.
The offensive to retake Kherson, the regional capital, began with long-range artillery strikes using U.S.-supplied HIMARS precision satellite-guided rocket systems to attack Russian strongholds but also against positions and formations of pro-Russian troops at the front, marking a shift in Ukraine’s recent tactics. Reports emerged almost immediately late Monday local time that elements of those forces were abandoning their posts and retreating.

Several officials in Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy’s confirmed the offensive, which analysts had predicted in recent days following heightened shelling against Russian military installations there, particularly Sunday evening.
Sema sister unachekeshaa sanaa..yaan ulipoteaaa mazimaaa..naona umeskia operation fake umeibuka tena..hayaa karibu sana..ila mpaka sasa wakirene 12 hundreds wameshaliwa kichwaaa jana
 
Fuatilia taarifa ya Leo Aljazeera ujue kuwa ya jana siyo ya leo.
 
Umetoa maoni yasio sahihi, sio kila kitu unatolea maoni
Sio kila kitu ubongo wako unachokuelekeza ni sahihi na Sio kila maoni lazima uyatolee tafsiri ya usahihi wake.
 
Back
Top Bottom