Ukraine wafanya mashambulizi makali kwa kutumia HIMARS, mvua ya mizinga Kherson

Aisee, hii ni kufuru sasa! Majeshi ya Ukraine yamejaribu kushambulia majeshi ya Urusi huko Kherson, matokeo yake Zelensky kapoteza wanajeshi zaidi ya 560, vifaru 26, armoured vehicles 32 na ndege mbili aina ya Su-25.
Mbona wapunguza idadi, wamekufa zaidi ya Elfu 30 leo
 

Vifaru unataka vya nini, tulieni hapo hapo ngoma inaendelea, kimsingi mpaka sasa mnatia aibu sana mlijiita supapawa....
 
Umeona kilichowapata wenzenu leo? Waliwekewa mtego wakanasa!

Kazi ni moja tu, kuwapukutisha kama mchwa huku tunaendelea kujimegea keki 😋😋😋

Mtapokea kichapo hadi basi, mliingia kwenye nchi ya watu....
 
🤣🤣🤣🤣🤣 yaani pro-NATO mnavyojua kujifariji. Haya leteni sources zinazoonyesha kuwa Russia ametembezewa kichapo.
 
Hivi nyinyi pro-NATO mnafikiri vyombo vya habari vya West kama BBC, CNN, SKY NEWS, DW wangeacha kutangaza habari hiyo kama ni kweli.
 
Sema sister unachekeshaa sanaa..yaan ulipoteaaa mazimaaa..naona umeskia operation fake umeibuka tena..hayaa karibu sana..ila mpaka sasa wakirene 12 hundreds wameshaliwa kichwaaa jana
 
Fuatilia taarifa ya Leo Aljazeera ujue kuwa ya jana siyo ya leo.
 
Umetoa maoni yasio sahihi, sio kila kitu unatolea maoni
Sio kila kitu ubongo wako unachokuelekeza ni sahihi na Sio kila maoni lazima uyatolee tafsiri ya usahihi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…