Ukraine waliingia mkenge: Mkataba wa kusafirisha ngano uliposainiwa walidhani Odesa haitashambuliwa, wakaficha silaha hapo!

Swaaaafiiiii
 
safi.
 
Hahahahahhahahahah


Ndio maana wanapiga kelele sana kumbe mzigo umeliwa ,

Hapa Nato lazima iwaume na watazidi kusaga meno
Wewe ukitaka kujuwa kwamba Zelensky na NATO/US wamezidiwa kete na jeshi la Urusi na taasisi ya kiintelijensia ya jeshi la Putin - we wa-cheki kauli zao wanapo gunduwa kwamba silaha zao zimetekezwa na Russian High Precision Cruise Missiles - wanapiga kelele kama watu walio lishwa pilipili kichaa - na lawana juu!!

Ukiangalia body language ya Zelensky anapo zidiwa kete na Putin baada ya silaha zake kutoka magharibi kuteketezwa,unamuona ni kama mtu aliye changanyikiwa - muda wote anawaza nchi za magharibi kumuongezea silaha, wakati akijuwa wazi kwamba awezi kushinda vita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…