Ukraine wapiga daraja la Crimea kwa mzinga wa Storm Shadow

Hapa ieleweke kuwa sio Daraja linalounganisha URUSI NA CLIMEA LENYE ULINZI MKARI HATA INZI HAKATISHI.
NI DARAJA LINALOUNGANISHA CLIMEA NA NCHI KAVU. TENA UPANDE WA NCHI KAVU LADHIBITIWA NA JESHI LA UKRAINE.
 
Endeleeni tu kupapasa sharubu ..hamjui Putin nyie Hadi Sasa huruma tu imemtawala ila mnamshika pabaya
Hawa Watu Wana matatizo ya Lugha. Sio lile Daraja la kuunganisha Urusi na climea bali ni la climea na Nchi kavu upande wa pili. Tena huo upande wa pili unadhibitiwa na ukraine
 
yawezekana una vyanzo vyako vya habari ambavyo wengine hawana access navyo
 
yawezekana una vyanzo vyako vya habari ambavyo wengine hawana access navyo
Wamepiga Daraja la kutoka ktk peninsula ya Crimea kwenda nchi kavu upande amabao uko ktk miliki ya Urusi na Ukraine, wanasema eti Daraja la kuunganisha Urusi na CLIMEA. Sijuhi wanajifariji na nini?
 
Cha kufanya sasa ni Urusi kuangalia kombora linalotua nchini mwake na kuleta hasara limetolewa sadaka na nani .Huyo aliyetoa arudishiwe kombora la IBCM katikati ya mji wake mkuu.
Kabla ya kufanya hivyo Putin angetoa onyo juu ya nia yake hiyo na baada ya kukaidi na yeye asitaniane nao kabisa.
 
Sahihi kabisa ila kumbuka hata hao unaodhani wanafaa kuwa wasuluhishi na wao wana matatizo yao.

Ukraine na Urusi ni muhimu kwa Africa sababu ya nafaka, teknolojia, mbolea, silaha, mafuta na mengine mengi....sio vibaya kwa Africa kujaribu kumaliza hii Vita kwa maslahi ya hili bara.
 
Unaamini watu walioshindwa kuwashauri waafrika wenzao kumaliza migogoro wanaweza kuwashauri wazungu waache vita?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Unaamini watu walioshindwa kuwashauri waafrika wenzao kumaliza migogoro wanaweza kuwashauri wazungu waache vita?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Kabisa hasa ikizingatia wameona madhara ya Vita kwenye bara lao.

ila uamuzi wa kukubali kupokea ushauri na kuutekeleza unabakia kwa wanaopigana.
 
Picha iko wapi
 
Wamepiga Daraja la kutoka ktk peninsula ya Crimea kwenda nchi kavu upande amabao uko ktk miliki ya Urusi na Ukraine, wanasema eti Daraja la kuunganisha Urusi na CLIMEA. Sijuhi wanajifariji na nini?
Unabisha nn wkt unaandika mwenye daraja kwenda kwenye miliki ya urusi na ukraine , hv upo timamu?

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Putin ameshikwa kwenye makalio , acha wampumulie kwenye kisogo , sijawahi ona Rais mpuuzi kama huyo Karne hii anagombania ardhi.
Harafu alivyo jinga ana ardhi kubwa tuu yeye hataki ardhi anataka pia vitu vilivyopo kwenye hiyo ardhi kavu sana huyo mtu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…