Ukraine wapiga daraja la Crimea kwa mzinga wa Storm Shadow

Ukraine wapiga daraja la Crimea kwa mzinga wa Storm Shadow

The guy is butchering his own citizens at an alarming rate. View attachment 2665174View attachment 2665175
Wewe ni juha sana,tena sana sijui kwanini pro Russia ni wapumbavu wakubwa kiasi hiki?
Yaani Ukraine imevamiwa,wewe ulitaka wasipiganie nchi yao Urusi aichukue tu?
Hovyo kabisa wewe, Putin ndo anaua raia wake wasio na hatia, Ukraine inalinda Taifa lake, hovyo kabisa wewe.
 
Endeleeni tu kupapasa sharubu ..hamjui Putin nyie Hadi Sasa huruma tu imemtawala ila mnamshika pabaya
Yaani huruma ya kutoka nchini kwako bila sababu ya maana ili tu kuwanyima uhuru wa kufanya mambo yao, unaanza kushambulia nchi nyingine? Ndiyo huruma hiyo? Acha waendelee kumjaza hadi ajifungue
 
Hawa Watu Wana matatizo ya Lugha. Sio lile Daraja la kuunganisha Urusi na climea bali ni la climea na Nchi kavu upande wa pili. Tena huo upande wa pili unadhibitiwa na ukraine
Mkuu ni kwamba una matatizo ya kuandika au kichwa chako ndio kizito?
Climea? Ndio wapi huko?
 
Back
Top Bottom