Ukraine wapiga meli nyingine ambayo hutumika kusafirisha mizinga ya Urusi

Ukraine wapiga meli nyingine ambayo hutumika kusafirisha mizinga ya Urusi

Wizara ya Ulinzi ya Urusi imeripoti kwamba asubuhi ya leo Ukraine ilijaribu bila mafanikio kushambulia kwa kutumia drones za majini, meli nyingine ya urusi ya Karakurt-class Project 22800 corvette 'Askold', yenye uwezo wa kurusha makombora ya cruise ya Kalibr. Mleta mada kula chuma Iko
Kwa taharifa yako hii bila shaka meli nyingine ya urusi imeshaharibiwa., maana hii ndio lugha wanayotumia mara meli zao zinapochakazwa

Kwa Hali hiyo takwimu inazidi kupanda..,Ina maana Ukraine kaharibu meli na submarines za urusi zisizopungua 6 ndani ya siku zisizozidi 3!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom