Ukraine wapokea kifaa cha kwanza kitakachosaidia kwenye kupangua mabomu ya Urusi yanayotupwa uraiani

Ukraine wapokea kifaa cha kwanza kitakachosaidia kwenye kupangua mabomu ya Urusi yanayotupwa uraiani

Kuanzia leo hatutasikia tena Ukraine ikishambuliwa.

Itashambuliwa ila mashambulizi mengi yatakua yanapanguliwa, waulize wale wapiganaji wa dini yenu sijui HAMAS/HEZBOLLAH namna mabomu yao hufanywa kila wakishambulia, vifaa vinazidi kuingia Ukraine.
Hatukua tumejua kwamba mkishindwa frontline mtaanza kutupa mabomu uswazi.
 
Vita hii itachukua miaka 8 iko imepangiluwa kwa pharse kama vurus wa corona walivyokuwa. Baada ya vifaa kuingia Russia atatulia kwa muda, then atapiga vibaya za zana tofauti za kivita. Baadae USA na wenzake watakaa tena wanaleta zana nyingine.
Hii Movie sio ya kuangalia kwa kula porp corn , ni Movie yenye Episode nyingi na kila episode ina series za kutosha.
At the end Ukraine itakuwa na wakazi elfu 1, wengine watakuwa wakimbizi. Urusi na Usa watakuwa nearly at equal value while Europe atakuwa aproaching Zero line.
Afrika atakuwa amejifunika yeye ni usiku mnene hajui nini kinaendelea, ni kama kupe ambaye ameuma ngozi ya mnyama aliyechinjwa longtime. Hajui nini ni fursa na kipi sio , Yeye anaomba tu misaada kwa watu wenye shida, hata sasa utashangaa anaomba msaada toka Ukraine yaani Afrika haelewi nini kinaendelea duniani.
Afrika na watu wake wanasifiana na kupanga fulani aendelee
 
Itashambuliwa ila mashambulizi mengi yatakua yanapanguliwa, waulize wale wapiganaji wa dini yenu sijui HAMAS/HEZBOLLAH namna mabomu yao hufanywa kila wakishambulia, vifaa vinazidi kuingia Ukraine.
Hatukua tumejua kwamba mkishindwa frontline mtaanza kutupa mabomu uswazi.
Kwaio s300 haikufanya kazi sio 😅😅😅
 
Ni muundo mbinu wa kimkakati, pigeni miundo mbinu sio kurusha mabomu uswazi...
Inaonyesha mlivyo waoga.
Kupiga vyanzo vya nishati na jengo la wapanga mipango ya ugaidi sio mkakati?
Nchi imewekwa gizani kimkakati
Next time mtasikia comedian zele yupo state Duma anahojiwa na kamati ya bunge ya ulinzi ya Russia.
 
Kupiga vyanzo vya nishati na jengo la wapanga mipango ya ugaidi sio mkakati?
Nchi imewekwa gizani kimkakati
Next time mtasikia comedian zele yupo state Duma anahojiwa na kamati ya bunge ya ulinzi ya Russia.

Ona mlivyo waoga..

AA12PT4w.img
 
Urusi ni kawaida yake huwa anapenda kushambulia makazi ya raia. Miaka ya 1940s alipopigana na Finland kwenye winter war aliangusha makombora yake kwenye foleni ya watu waliokuwa wanaingia kwenye cinema
Hukufuatilia yale yalikua MAGAIDI na MAGAIDI yanatakiwa kufa popote pale yalipo

Safi sana RUSSIA kwahatua ile na hii yakutokomeza MAGAIDI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vita no vita mura! Piga popote pale hatakama zinacheza Umbwa piga tu
Huko ndiko kupagawa sasa,wakati wewe unapiga mbwa zinazocheza wenzio huko Kherson wanasonga mbele kukomboa maeneo.
 
Unalinganisha daraja ambalo linatumika kwa logistic za kijeshi za Russia kuharibiwa na wanaojitetea na mtu anaepiga sehemu ya wazi ya kuchezea watoto
Ypu are watching too much bbc and cnn doctored footages..
 
Mrusi ameshindwa frontline hadi ameamua kushambulia maeneo ya bustani yenye bembea za watoto, alishambulia kwa mabomu 75, ila 41 yalipanguliwa maana yalielekezwa kwenye miundo mbinu ya kijeshi, ila Ukraine hawakua wamejiandaa kwa mabomu ya kupiga uraiani, maana hawakutegemea Urusi wanaweza kuwa frustrated kiasi hicho.
Sasa habari, ndio hii, Mrusi anaendelea kuishia kete

Bila aibu Urusi walipiga bembea za watoto


AA12PT4w.img



BERLIN, Oct 11 (Reuters) - Ukraine on Tuesday received the first of four IRIS-T air defence systems Germany promised to supply, a German defence ministry source said, confirming a report by Der Spiegel magazine.

The delivery had taken place earlier than planned, the source added. The government did immediately respond to a request for official comment.

Russia pounded cities across Ukraine during rush hour on Monday morning, killing civilians and knocking out power and heat, in apparent revenge strikes after Russian President Vladimir Putin declared a blast on Russia's bridge to Crimea to be a terrorist attack
Habari imetolewa na team NATO imekaa kishoga shoga
 
Dah we jamaa heshima yako ilivyokubwa hapa jf sijafikiria kama akili zako na wewe zipo kama wavaa madera na makobaz
Ni uongo mataifa yanauounga mkono kila upande hayafanyi majaribio ya silaha zao hapo Ukraine??

Mnapendwa kudanganywa-danganywa tu yani ubongo unataka habari nzuri-nzuri tu zinazokufurahisha 😂

Kuhusu sijui wavaa madera na kobaz hii naimezea kwasasa tufanye ulipitiwa.
 
Back
Top Bottom