Kuanzia leo hatutasikia tena Ukraine ikishambuliwa.
Kwaio s300 haikufanya kazi sio 😅😅😅Itashambuliwa ila mashambulizi mengi yatakua yanapanguliwa, waulize wale wapiganaji wa dini yenu sijui HAMAS/HEZBOLLAH namna mabomu yao hufanywa kila wakishambulia, vifaa vinazidi kuingia Ukraine.
Hatukua tumejua kwamba mkishindwa frontline mtaanza kutupa mabomu uswazi.
Kupiga vyanzo vya nishati na jengo la wapanga mipango ya ugaidi sio mkakati?Ni muundo mbinu wa kimkakati, pigeni miundo mbinu sio kurusha mabomu uswazi...
Inaonyesha mlivyo waoga.
Kakojoe ukalale.Ebwana punguza kuonyesha upungufu wako wazi ..
Hukufuatilia yale yalikua MAGAIDI na MAGAIDI yanatakiwa kufa popote pale yalipoUrusi ni kawaida yake huwa anapenda kushambulia makazi ya raia. Miaka ya 1940s alipopigana na Finland kwenye winter war aliangusha makombora yake kwenye foleni ya watu waliokuwa wanaingia kwenye cinema
Kituo chakulelea VIGAIDI saf sana VIMETOKOMEZWAOna mlivyo waoga..
Unalinganisha daraja ambalo linatumika kwa logistic za kijeshi za Russia kuharibiwa na wanaojitetea na mtu anaepiga sehemu ya wazi ya kuchezea watotoCrimea bridge ni frontline?
Huko ndiko kupagawa sasa,wakati wewe unapiga mbwa zinazocheza wenzio huko Kherson wanasonga mbele kukomboa maeneo.Vita no vita mura! Piga popote pale hatakama zinacheza Umbwa piga tu
Ypu are watching too much bbc and cnn doctored footages..Unalinganisha daraja ambalo linatumika kwa logistic za kijeshi za Russia kuharibiwa na wanaojitetea na mtu anaepiga sehemu ya wazi ya kuchezea watoto
Acha kuangalia doctored footages za bbc na cnnOna mlivyo waoga..
Habari imetolewa na team NATO imekaa kishoga shogaMrusi ameshindwa frontline hadi ameamua kushambulia maeneo ya bustani yenye bembea za watoto, alishambulia kwa mabomu 75, ila 41 yalipanguliwa maana yalielekezwa kwenye miundo mbinu ya kijeshi, ila Ukraine hawakua wamejiandaa kwa mabomu ya kupiga uraiani, maana hawakutegemea Urusi wanaweza kuwa frustrated kiasi hicho.
Sasa habari, ndio hii, Mrusi anaendelea kuishia kete
Bila aibu Urusi walipiga bembea za watoto
BERLIN, Oct 11 (Reuters) - Ukraine on Tuesday received the first of four IRIS-T air defence systems Germany promised to supply, a German defence ministry source said, confirming a report by Der Spiegel magazine.
The delivery had taken place earlier than planned, the source added. The government did immediately respond to a request for official comment.
Russia pounded cities across Ukraine during rush hour on Monday morning, killing civilians and knocking out power and heat, in apparent revenge strikes after Russian President Vladimir Putin declared a blast on Russia's bridge to Crimea to be a terrorist attack
Russia launches biggest air strikes since start of Ukraine war
Russia rained cruise missiles on busy Ukrainian cities on Monday in what the United States called "horrific strikes", killing civilians and knocking out power and heat with its most widespread air attacks since the start of the war.www.reuters.com
Ni uongo mataifa yanauounga mkono kila upande hayafanyi majaribio ya silaha zao hapo Ukraine??Dah we jamaa heshima yako ilivyokubwa hapa jf sijafikiria kama akili zako na wewe zipo kama wavaa madera na makobaz