Ukraine yadai kumuua afisa wa tisa Mkuu wa Jeshi la Urusi

5525

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
5,412
Reaction score
6,279
Afisa mkuu wa tisa wa Urusi ameripotiwa kuuawa nchini Ukraine, na kuwa wa hivi punde zaidi katika idadi ya maafisa wa ngazi za juu wa Urusi kuuawa tangu vita kuanza siku 46 zilizopita.

Kulingana na ripoti za vyombo vya habari, Kanali Alexander Bespalov alikuwa kamanda wa Kikosi cha 59 cha Tangi ya Walinzi. Haijulikani aliuawa wapi au vipi.

Habari za kifo chake zilishirikiwa kwenye ubao wa ujumbe wa eneo hilo - 'Overheard Novogorny' katika jiji la Ozersk, ambapo Bespalov alifanyiwa mazishi siku ya Ijumaa. Ujumbe umefutwa tangu wakati huo.

Chapisho moja, linalodaiwa kutoka kwa dada ya Bespalov, lilisema kwamba "haiwezekani kuweka kwa maneno ni maumivu gani unayohisi unapopoteza mtu wa karibu na mpendwa."



 
Inaweza kua kweli..

Mbona hutusikii wanajeshi wa Ukraine wakifa...

Ila miji yao mingi imechukuliwa..

Au wanatoka nduki,,maana anga lao halipo na wao tena ila hatujasikia sijui urusi katungu ndege au kauuwa wanajeshi,,

ila huyu tunaye ona anadundwa kila siku... utasika mara kauwa wanajeshi mara kadungua ndege ya urusi.

Ninacho kiona mm ni waafrica tunalishwa matango mno hasa kupitia CNN na BBC amabvyo ni vyombo nya NATO.

Hatujawahi sikia bomu limetua MOSCOW wala mji wowote wa Urusi but ccnn wanakwambi mara urusi kafa flan mara sijui nn sijui..

Ni uwongo mtupu....
 
Ukraine keeps winning the war on social media while Russia keeps taking strategic cities...
Strategic cities like Kyiv??
Naona Zelensky anadunda na maoifisa wa European Union na jana Boris Johnson waziri mkuu wa Uingereza pia alikuwa Kyiv, hatujasikia kwa putini aliweza kurusha japo jiwe kwenye ule mjumba wa kifahari waliofanya mikutano pale Kyiv, fomu za kujiunga na European Union pia zilipokelewa Kyiv mchana kweupee
 
Ghala la mafuta la Russia mkuu lilipuliwa lipo mpakani karibu na Ukraine, Urusi wakilitumia kwa shughuliza zao za kuwekea mafuta magari yao ya kivita, limelipuliwa kwa kutumia helkopta 2 ndani ya anga la urusi ambalo lilikuwa linasifiwa duniani kua anga la urusi linalindwa na technologia bora ya kirusi
 
Nani kakwambia Russia wana shida ya kuua viongozi?
Malengo ya Russia kule Ukraine huyajui?
 
Ukraine ilikanusha kulipua,suala la usalama wa anga kaa nae mbali.Ushajiuliza kwa nini uto tu nchi 30 tunazungumza tu hamna vitendo?
 
Propaganda
Kwenye vita propaganda lazima ziwepo kwa mfano vile vita vya majimaji watu walikuwa wanapigwa risasi wao waliambiwa wawe wanasema maji tu lakini walikufa sana. Hata wanajeshi wa urusi wandanganywa na wanakufa sana ila ambao hawajafa wanaambiwa hiyo ni proganda yani chukulia mfano Yale magari ya urusi yaliyo kuwa yanaenda ukraine kichwa kichwa karibia km 64.
Na mwisho wa siku waliishia kufa kama kuku.
Na inawezekana wao walidanganywa na intelligence ya urusi kwamba ule msafa Kuna vifaa walivifunga kwahiyo yale magari yasingweza kuonekana na rada ya aina yoyote duniani.
 
Russia kaivamia Ukraine na sasa Ukraine inajihami na kutaka kurudisha miji yake. Wanajeshi waliovamia wako nchini Ukraine, wewe unajiuliza mbona hujasikia bomu limetua Moscow, kweli ccm ni janga kabisa na wewe ni mmoja wa wahanga wa ccm
 
Hata majeshi ya Urusi kushindwa kuingia kyiv ni propaganda pia.
Mkuu aliyekuambia walishindwa ni nani,au taarifa ulizo nazo wewe ni tofauti.Hivi inawezekanaje Nchi inayohofiwa na NATO yote muungano wa Nchi 28+USA wamuogope halafu ashindwe kuichukua Kiev?.
Au unataka kusema Ukraine hakuomba Urusi isiindelee na operations yao kuelekea Kiev ambapo ilikuwa bado KM 15 kufika katikati ya mji?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…