4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
vita ipo Ukraine unataka afe raia aliyepo urusi , hz akili au matope?Inaweza kua kweli..
Mbona hutusikii wanajeshi wa Ukraine wakifa...
Ila miji yao mingi imechukuliwa..
Au wanatoka nduki,,maana anga lao halipo na wao tena ila hatujasikia sijui urusi katungu ndege au kauuwa wanajeshi,,
ila huyu tunaye ona anadundwa kila siku... utasika mara kauwa wanajeshi mara kadungua ndege ya urusi.
Ninacho kiona mm ni waafrica tunalishwa matango mno hasa kupitia CNN na BBC amabvyo ni vyombo nya NATO.
Hatujawahi sikia bomu limetua MOSCOW wala mji wowote wa Urusi but ccnn wanakwambi mara urusi kafa flan mara sijui nn sijui..
Ni uwongo mtupu....
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app