Ukraine yadai kumuua afisa wa tisa Mkuu wa Jeshi la Urusi

Ukraine yadai kumuua afisa wa tisa Mkuu wa Jeshi la Urusi

Inaweza kua kweli..

Mbona hutusikii wanajeshi wa Ukraine wakifa...

Ila miji yao mingi imechukuliwa..

Au wanatoka nduki,,maana anga lao halipo na wao tena ila hatujasikia sijui urusi katungu ndege au kauuwa wanajeshi,,

ila huyu tunaye ona anadundwa kila siku... utasika mara kauwa wanajeshi mara kadungua ndege ya urusi.

Ninacho kiona mm ni waafrica tunalishwa matango mno hasa kupitia CNN na BBC amabvyo ni vyombo nya NATO.

Hatujawahi sikia bomu limetua MOSCOW wala mji wowote wa Urusi but ccnn wanakwambi mara urusi kafa flan mara sijui nn sijui..

Ni uwongo mtupu....
Ww ukianza kupigana na mtoto tutashangilia unapompiga ama unapopigwa
 
Propaganda!! Kwani mara ya mwisho wewe kumuona au kuwasiliana na bwana Alexander Bespalov ni lini? Mwambie ajitokeze adharani ili tuamini kuwa hizi ni propaganda.
Akikujibu nitag
 
Ukraine ilikanusha kulipua,suala la usalama wa anga kaa nae mbali.Ushajiuliza kwa nini uto tu nchi 30 tunazungumza tu hamna vitendo?
Russia walisema Ukraine ndo kalipua.
 
Mkuu aliyekuambia walishindwa ni nani,au taarifa ulizo nazo wewe ni tofauti.Hivi inawezekanaje Nchi inayohofiwa na NATO yote muungano wa Nchi 28+USA wamuogope halafu ashindwe kuichukua Kiev?.
Au unataka kusema Ukraine hakuomba Urusi isiindelee na operations yao kuelekea Kiev ambapo ilikuwa bado KM 15 kufika katikati ya mji?.
Urusi ndo anaogopa NATO ndo maana anatapatapa kuzipiga mkwara nchi huru zenye maamuzi yao zisijiunge nayo, NATO haiogopi Russia ndo maana imejitanua hadi mipakani mwake bila uoga.
 
Ww ukianza kupigana na mtoto tutashangilia unapompiga ama unapopigwa
Unamaanisha hapa mtoto ndio anapigwa..so haina haja ya kushangiria.

nakuelewa

Ushauri wangu wa Tz tuanze kulima ngano kwa wingi...soko lipo kwa sasa
 
Back
Top Bottom