Ukraine yadai kumuua afisa wa tisa Mkuu wa Jeshi la Urusi

vita ipo Ukraine unataka afe raia aliyepo urusi , hz akili au matope?

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
ss walienda kufanya nn kiev ? au walimis baga za kiev ?

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Na hii tegemea kuambiwa propaganda
 
wana toka nduki wataweza 😂😂😂 leo wame dakwa 160! wana wadaka usiku kama senene! hii vita Urusi amesha shinda ni suala la muda tu
 

Attachments

  • VID_20220411_181706_817.mp4
    7.7 MB
hongera zao ila UKRAINE ndio inagawanywa hivyo
biibiisiii sienieni nawengine wanawalisha matango pori ila wameumbuka sana safari hii
watu hawataki kuja kuombwa msamaha na biibiisii kama tulivyoombwa 2003
 
wana toka nduki wataweza [emoji23][emoji23][emoji23] leo wame dakwa 160! wana wadaka usiku kama senene! hii vita Urusi amesha shinda ni suala la muda tu
boibiisiii huwezi ona hii[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Mkuu hawa Pro Russia wana win hii vita katika vichwa vyao tu
 
Unaleta ushabiki kwenye maisha ya watu...wanawake, watoto wanakufa Ukraine huko...wakimbizi wa kutosha tu ndani na nje...Hakuna kitu cha kushangilia hapo...Zelensky anaomba misaada muda wote..

Nashangaa ilikuwaje wazungu wakweza kututawala wakati nao akili za kijinga tu...Hivi inakuwaje mnasababisha maafa kwa nchi yenu kisa kuchagua upande....??Ukraine ingebaki tu pro -Ukraine ingepiga hatua ndefu....ingeshirikia na West na East, ingekuwa kama daraja..now wanatumika tu na west, wanatumika kama uwanja wa kutest vita...

Na wewe nawe mtoa mada..hivi nchi yenye watu zaidi ya 140M anaua kamanda unashangilia umeshinda vita??The point sio kuua wanajeshi, point amani ipatikane...Japan mbona alisalimu amri miaka hiyo na life linasonga tu...??Approach anayoitumia Zelensky si nzuri..

Unakumbuka vita ya Uganda (Idd Amini) na Tz tulipoteza wanajeshi wangapi??Maelfu..maelfu..lkn mwisho wa siku vita tulishinda..politicians hawaangalii wanajeshi kufa, wanaangalia kutimiza malengo yao....na kufikiwa kwa lengo la taifa husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…