Ukraine yadai kumuua afisa wa tisa Mkuu wa Jeshi la Urusi

Ww ukianza kupigana na mtoto tutashangilia unapompiga ama unapopigwa
 
Propaganda!! Kwani mara ya mwisho wewe kumuona au kuwasiliana na bwana Alexander Bespalov ni lini? Mwambie ajitokeze adharani ili tuamini kuwa hizi ni propaganda.
Akikujibu nitag
 
Ukraine ilikanusha kulipua,suala la usalama wa anga kaa nae mbali.Ushajiuliza kwa nini uto tu nchi 30 tunazungumza tu hamna vitendo?
Russia walisema Ukraine ndo kalipua.
 
Urusi ndo anaogopa NATO ndo maana anatapatapa kuzipiga mkwara nchi huru zenye maamuzi yao zisijiunge nayo, NATO haiogopi Russia ndo maana imejitanua hadi mipakani mwake bila uoga.
 
Ww ukianza kupigana na mtoto tutashangilia unapompiga ama unapopigwa
Unamaanisha hapa mtoto ndio anapigwa..so haina haja ya kushangiria.

nakuelewa

Ushauri wangu wa Tz tuanze kulima ngano kwa wingi...soko lipo kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…