Ukraine yadai kutungua ndege kubwa ya kisasa ya Urusi

Jihadists hawapendi kusikia hasara yoyote kwa mtu aliye upande unaopingana na Marekani, ni swala lile lile la kijinga (Imani).

Any analysis based on religious creed is always foolish and devoid of logic. Bure kabisa.
 
Mbona ww husemi mpaka Leo mwaka wa pili Urusi imeshindwa hata kuitwaa Donbass yote huku akiwa kashapoteza askari kibao bila kusahau kashatumia kila aina ya silaha hapo ukraine kasoro nyuklia.

Kwahiyo unabisha hilo dege halijatunguliwa au?!
Swali lako lina logic gani? Tangu mwanzo Putin alisema lengo lake ni kukomboa Warusi wenake wa majimbo ya kusini, hakusema anataka kuiteka Ukraine nzima au kuiondoa madarakani Serikari ya Zelensky.
 
Kwa hiyo kipindi anafanya uvamizi mwanzoni kabisa alikuwa anaenda Kyiv kufanya nini...😛😛
 
Swali lako lina logic gani? Tangu mwanzo Putin alisema lengo lake ni kukomboa Warusi wenake wa majimbo ya kusini, hakusema anataka kuiteka Ukraine nzima au kuiondoa madarakani Serikari ya Zelensky.
Kwahiyo Donbass ipo kaskazini au sio?!
 
Mbona ww husemi mpaka Leo mwaka wa pili Urusi imeshindwa hata kuitwaa Donbass yote huku akiwa kashapoteza askari kibao bila kusahau kashatumia kila aina ya silaha hapo ukraine kasoro nyuklia.

Kwahiyo unabisha hilo dege halijatunguliwa au?!
Moskva meli ya kijeshi kubwa ya Russia ilokuwa na ulinzi wa S300 ilipopigwa Warusi walikanusha kama kawaida yao, huyo jamaa naye akabisha sana.

S400 zishachapika sana ila jamaa akawa anabisha, mpaka picha zikatumwa. Anaiona Russia ni kama immortals fulani hivi.
 
Kwahiyo Donbass ipo kaskazini au sio?!
Ndio maana nasema majibu yako na baadhi ya wenzako uwaaga too illogical and childish "sorry AMIGO" nyie endeleeni na kusema muyatakayo wakati huo Urusi bado inaendelea kukalia majimbo waliyo yateka.
 
Back
Top Bottom