Ukraine imeharibu daraja muhimu kimkakati juu ya mto Seym, wakati inaendelea na uvamizi wake katika eneo la Kursk nchini Urusi.
Maafisa wa Urusi wamenukuliwa wakisema operesheni hiyo karibu na mji wa Glushkovo imekata sehemu ya wilaya ya eneo hilo. Daraja hilo lilitumiwa na Kremlin kusambaza wanajeshi wake na uharibifu wake unaweza kutatiza juhudi zao kwenye vita vyake na Ukraine.
www.bbc.com

Ukraine incursion destroys key Russian bridge in Kursk region
Ukraine destroys a bridge over the river Seym as it continues its incursion into Russia's Kursk region.