Ukraine yaharibu daraja muhimu ndani ya Russia.

Msafara wa kijeshi ulienda kufanya nini Kyiv?
Unadhani guided missiles zilishindwa jutua ikulu au mahali alipo zele?

Kwa jibu lako ni kuwa walienda kuhakikisha kuwa UKRAINE HAIJIUNGI NATO
 
Kwa wasiojua au kwa makusudi mnapotosha ukweli. Ukraine inahali mbaya sana na moto anaopelekewa ni mkubwa sana. Taarifa rasmi zinaweza kati ya askari 10,000 walioingia 3400 kallas. Vifaru na magari 240 vimelipuliwa na vingi ni western.
Lakini pia vijiji vya Ukraine vinazidi kuchukuliwa upande wa Ukraine.

Kwa upande wa Russia out of 28, settlements zimebakia 12 Bado zipo chini ya Ukraine.

Urusi anashindwa kuitumia full force maana Kuna raia Bado wameshikiliwa maeneo yanayokaliwa na Ukraine.

Sasa subiria wawe cleared ndio utaona atakachofanywa ndio maana nchi nyingi zinalaani yaliyotokea
Ni kweli, Yani urusi apigwe na Ukraine ni suala lisilowezekana. Cha muhimu ni kuomba vita ifike mwisho maana watu wanapoteza maisha na hizi propaganda kuwa urusi inapigwa hazisaidii chochote
 
Unadhani guided missiles zilishindwa jutua ikulu au mahali alipo zele?

Kwa jibu lako ni kuwa walienda kuhakikisha kuwa UKRAINE HAIJIUNGI NATO
Hizo "guided missiles" hivyo hivyo zinaweza zikaelekezwa pia kwa dikteta Putin.
 
Unadhani guided missiles zilishindwa jutua ikulu au mahali alipo zele?

Kwa jibu lako ni kuwa walienda kuhakikisha kuwa UKRAINE HAIJIUNGI NATO
Target ni majeshi au walipo viongozi?
 
Kwa wasiojua au kwa makusudi mnapotosha ukweli. Ukraine inahali mbaya sana na moto anaopelekewa ni mkubwa sana. Taarifa rasmi zinaweza kati ya askari 10,000 walioingia 3400 kallas. Vifaru na magari 240 vimelipuliwa na vingi ni western.
Lakini pia vijiji vya Ukraine vinazidi kuchukuliwa upande wa Ukraine.

Kwa upande wa Russia out of 28, settlements zimebakia 12 Bado zipo chini ya Ukraine.

Urusi anashindwa kuitumia full force maana Kuna raia Bado wameshikiliwa maeneo yanayokaliwa na Ukraine.

Sasa subiria wawe cleared ndio utaona atakachofanywa ndio maana nchi nyingi zinalaani yaliyotokea
Very good analysis
 
Inashangaza kwa iyo wameacha kugomboa nchi yao wameamua wakavamie nchi inayowabonda😁😁😁😁😁
Kwanini ye urusi kaacha kuteka nchi kama lengo lilivyokua mpaka nchi yake nae inatekwa
 
Back
Top Bottom