Ukraine yaharibu daraja muhimu ndani ya Russia.

Msafara wa kijeshi ulienda kufanya nini Kyiv?
Unadhani guided missiles zilishindwa jutua ikulu au mahali alipo zele?

Kwa jibu lako ni kuwa walienda kuhakikisha kuwa UKRAINE HAIJIUNGI NATO
 
Nimemsikia Rais wa Beralus akiliongelea hili na kusema Ukraine ina zaidi ya Wanajeshi 120,000 waliopo karibu na boarder...
Inashangaza kwa iyo wameacha kugomboa nchi yao wameamua wakavamie nchi inayowabonda😁😁😁😁😁
 
Ni kweli, Yani urusi apigwe na Ukraine ni suala lisilowezekana. Cha muhimu ni kuomba vita ifike mwisho maana watu wanapoteza maisha na hizi propaganda kuwa urusi inapigwa hazisaidii chochote
 
Unadhani guided missiles zilishindwa jutua ikulu au mahali alipo zele?

Kwa jibu lako ni kuwa walienda kuhakikisha kuwa UKRAINE HAIJIUNGI NATO
Hizo "guided missiles" hivyo hivyo zinaweza zikaelekezwa pia kwa dikteta Putin.
 
Unadhani guided missiles zilishindwa jutua ikulu au mahali alipo zele?

Kwa jibu lako ni kuwa walienda kuhakikisha kuwa UKRAINE HAIJIUNGI NATO
Target ni majeshi au walipo viongozi?
 
Very good analysis
 
Inashangaza kwa iyo wameacha kugomboa nchi yao wameamua wakavamie nchi inayowabonda😁😁😁😁😁
Kwanini ye urusi kaacha kuteka nchi kama lengo lilivyokua mpaka nchi yake nae inatekwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…