Siyo "Chilisosi"?Source: TRUST ME BRO.
Anaona kila mtu humu ni PonjoroSiyo "Chilisosi"?
Kuna wakati kulikuwa na wapiganaji Warusi ndani ya Urusi wakiunga mkono Ukraine, labda wameibuka tenaNa habari mbaya ni kuwa hizo drone zimerushwa kutokea ndani ya Urusi
Tatizo ni kwamba,anaanzia wapi?Putin is missing a point here. Inapaswa adeal na aliyeko nyuma ya ukraine. Be it usa england german or france