B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
Marekan nayo imejaa wa ISRAEL kwenye mambo nyetiIsrael bila marekan hachukui raundi
Marekan nayo imejaa wa ISRAEL kwenye mambo nyetiIsrael bila marekan hachukui raundi
Israel Hana ubavu WA kupigana na urusi hata angesaidiwa kama Ukraine angebondwa kama anavobondwa Ukraine fungua ubongo kijanaMarekan nayo imejaa wa ISRAEL kwenye mambo nyeti
Hahah mbona hasaidii IRAN rafiki yake. Ili ujue kuwa anajua akiingiza miguu tu anapasuliwa mbaya sanaIsrael Hana ubavu WA kupigana na urusi hata angesaidiwa kama Ukraine angebondwa kama anavobondwa Ukraine fungua ubongo kijana
Kwani Iran kapigwa lini au anapigana na naniHahah mbona hasaidii IRAN rafiki yake. Ili ujue kuwa anajua akiingiza miguu tu anapasuliwa mbaya sana
Endelea kuulia"Uncofirmed losses"
Ndivyo mnavyodanganyana!?Marekan nayo imejaa wa ISRAEL kwenye mambo nyeti
Kausha basi una penda ligiNdivyo mnavyodanganyana!?
Israel ilomaliza silaha dhidi ya Hamas ije iwekane ubavu na Russia!??
😂😂😂Unaota wewe si bure.
Amka bongolala wewe......Acha uongo marekani kanyang'anya lini Toronto duuh Kuna mijitu miongo aisee🤣🤣🤣🤣