Ukraine yaharibu ndege vita za Urusi

Kipigo cha leo wacha tuone malipo yatakuwaje
 
Putin is too kind

By the way mpaka sasa ni ndege 4 zimeonekana kwenye footages zikiwa zimeshambuliwa
 
Hizo ndege zilikuwa airport zimepaki?
 
Hujui kitu kaa ujifunze na kuelewa maana yake
 
Hii vita Trump alikuwa anaweza kuimaliza lakini vita inashikiliwa kwanza iendelee mdogo mdogo huku Putin akiangaliwa yeye na lengo lake huku Afrika kwasababu anataka kumwaga mboga za watu wengi kwa hiyo ili chanzo kisikosekane inabidi ya Ukraine yaendelee kuwepo
 
Wewe unajua Toronto ilikuwa jimbo la canada? Marekani kanyanganya...na anataka Greenland ya denmark
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…