Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,611
- 2,881
punguza sauti mkuu, sauti iko juu sanaa🤣🤣🤣🤣Masafa marefu ya Kupiga donbas kwa kutokea wapi? USA au ukraine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
punguza sauti mkuu, sauti iko juu sanaa🤣🤣🤣🤣Masafa marefu ya Kupiga donbas kwa kutokea wapi? USA au ukraine?
Mrusi baada ya kuvikaanga vi drone vyao jamaa akili zikaamka, maana jamaa sasa wanajua mrusi atakua na suprise nyingine sema anasikilizia tu wao waongeze moto na yeye anakiwasha zaidi.......alivyokua anatumia stock yake ya miaka ya zamani huko walimchukulia poa, kumbe na yeye anawalia timing tuHata mimi ningeogopa maana hizo LASER sio mchezo, USA anajua mziki wa Urusi si wa kucheza kiuno kimelegea.
Muongeze brittanica[emoji16]Naona wamarekani weusi wanapita humu kimya kimya bila kusema neno ngoja niwaite baadhi.
anunnaki Nyamizi MTZ 255Dar
Bila shaka huoni athari kubwa kwa dunia zitakazokuwa ni matokeo ya NATO kuingia vitani na urusi.Vita hii imeidhalilisha sana USA.
USA ilikua inakuzwa sana.
NATO ni genge la nchi dhaifu kuonea chi dhaifu..
Kinachokwepwa ni vita ya nuclear inayoweza kuiathiri dunia sana.Kupitia huu mgogoro nimeona udhaifu wa Nato na USA, ni kikundi dhaifu na kinaiogopa Russia kwel kwel
💪💪Niliwahi kuwambia humu tokea day Iran aliposhambulia zile kambi za NATO kule Iraq kwa Ballistics Missiles alaf Ayatollah akawambia hicho ni kikofi tu jamaa wakakaa kimya na majeshi ya nchi mbali mbali kuhamishiwa kambi kupelekwa kuweit na nchi nyengine half hawakujibu ile ni bonge la picture kwamba wako dhaifu sana wanapojutana na nchi tata
Ficha ujinga wako, hii ni sawa na ugomvi wa watoto mmetwangana unatwangwa afu unasingizia mwenzako anabuti wewe unalaba. Kwani show hiyo mpaka mvae sare.Urusi advantage aliyonayo ni Artillery(Mizinga), hiyo ndo inamfanya apige miji na kubomoabomoa majengo.
Ukraine naye anaomba apewe mizingia inayoweza kuchakaza positions za Urusi ndani ya Donbas. Akiipata hiyo mizinga, vita huko Mashariki itageuka degree 180.
Tekniki ya Mizinga ndo ilimpa Soviet Union ushindi dhidi ya majeshi ya Hitler
Soviet union waliwafundisha waasi wa China akina mzee Mao power ya mizinga, na ndo ikawa sababu ya akina Mzee Mao kuanza kupata ushindi mpaka wakaitwaa China mwaka 1949
Na Sisi Tanzania tulitumia tekniki ya Mizinga ya masafa ya kati na marefu kwenye vita ya Kagera, ikatupa advantage sana dhidi ya majeshi ya Amin
Joe Biden jana katangaza kupeleka mzigo wa maana Ukraine- stay tuned!Ficha ujinga wako, hii ni sawa na ugomvi wa watoto mmetwangana unatwangwa afu unasingizia mwenzako anabuti wewe unalaba. Kwani show hiyo mpaka mvae sare.
Super power ni pamoja na kumiliki sairaha ambazo wenzako au adui hana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna kitu.. hajaanza kusema leoJoe Biden jana katangaza kupeleka mzigo wa maana Ukraine- stay tuned!
Basi ndo ujue kama ni silaha.. Urusi ndo anaongoza kuwa na mabomu ya nyuklia mengi kuliko nchi yoyote duniani..ikiwamo na hiyo marekani yako. Kama hutaki kajinyongeFicha ujinga wako, hii ni sawa na ugomvi wa watoto mmetwangana unatwangwa afu unasingizia mwenzako anabuti wewe unalaba. Kwani show hiyo mpaka mvae sare.
Super power ni pamoja na kumiliki sairaha ambazo wenzako au adui hana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hamuelewekiJoe Biden jana katangaza kupeleka mzigo wa maana Ukraine- stay tuned!
Joe Biden jana katangaza kupeleka mzigo wa maana Ukraine- stay tuned!
Urusi advantage aliyonayo ni Artillery(Mizinga), hiyo ndo inamfanya apige miji na kubomoabomoa majengo.
Ukraine naye anaomba apewe mizingia inayoweza kuchakaza positions za Urusi ndani ya Donbas. Akiipata hiyo mizinga, vita huko Mashariki itageuka degree 180.
Tekniki ya Mizinga ndo ilimpa Soviet Union ushindi dhidi ya majeshi ya Hitler
Soviet union waliwafundisha waasi wa China akina mzee Mao power ya mizinga, na ndo ikawa sababu ya akina Mzee Mao kuanza kupata ushindi mpaka wakaitwaa China mwaka 1949
Na Sisi Tanzania tulitumia tekniki ya Mizinga ya masafa ya kati na marefu kwenye vita ya Kagera, ikatupa advantage sana dhidi ya majeshi ya Amin
huyu jamaa ndio kapotea itakuwa ana Id nyingineMuongeze brittanica[emoji16]