Ukraine yaitishia USA: Yasema isipopewa makombora ya masafa marefu "itaibwatukia na kuisemea mbovu mbovu kwa kiwango ambacho kitakuwa cha mfano”

Hata mimi ningeogopa maana hizo LASER sio mchezo, USA anajua mziki wa Urusi si wa kucheza kiuno kimelegea.
Mrusi baada ya kuvikaanga vi drone vyao jamaa akili zikaamka, maana jamaa sasa wanajua mrusi atakua na suprise nyingine sema anasikilizia tu wao waongeze moto na yeye anakiwasha zaidi.......alivyokua anatumia stock yake ya miaka ya zamani huko walimchukulia poa, kumbe na yeye anawalia timing tu
 
Vita hii imeidhalilisha sana USA.
USA ilikua inakuzwa sana.
NATO ni genge la nchi dhaifu kuonea chi dhaifu..
Bila shaka huoni athari kubwa kwa dunia zitakazokuwa ni matokeo ya NATO kuingia vitani na urusi.

Hilo si jambo la kuliombea.
 
Niliwahi kuwambia humu tokea day Iran aliposhambulia zile kambi za NATO kule Iraq kwa Ballistics Missiles alaf Ayatollah akawambia hicho ni kikofi tu jamaa wakakaa kimya na majeshi ya nchi mbali mbali kuhamishiwa kambi kupelekwa kuweit na nchi nyengine half hawakujibu ile ni bonge la picture kwamba wako dhaifu sana wanapojutana na nchi tata
💪💪
 
Urusi advantage aliyonayo ni Artillery(Mizinga), hiyo ndo inamfanya apige miji na kubomoabomoa majengo.

Ukraine naye anaomba apewe mizingia inayoweza kuchakaza positions za Urusi ndani ya Donbas. Akiipata hiyo mizinga, vita huko Mashariki itageuka degree 180.

Tekniki ya Mizinga ndo ilimpa Soviet Union ushindi dhidi ya majeshi ya Hitler

Soviet union waliwafundisha waasi wa China akina mzee Mao power ya mizinga, na ndo ikawa sababu ya akina Mzee Mao kuanza kupata ushindi mpaka wakaitwaa China mwaka 1949

Na Sisi Tanzania tulitumia tekniki ya Mizinga ya masafa ya kati na marefu kwenye vita ya Kagera, ikatupa advantage sana dhidi ya majeshi ya Amin
 
Ficha ujinga wako, hii ni sawa na ugomvi wa watoto mmetwangana unatwangwa afu unasingizia mwenzako anabuti wewe unalaba. Kwani show hiyo mpaka mvae sare.

Super power ni pamoja na kumiliki sairaha ambazo wenzako au adui hana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joe Biden jana katangaza kupeleka mzigo wa maana Ukraine- stay tuned!
 
Mimi huwa nasema urusi ipo mbele ya Marekani, wajinga hawaelewi...
1) Urusi ndo nchi ya kwanza kupeleka mtu anga za juu
2) Urusi iliweza kuingilia mifumo ya uchaguzi ya marekani na kuuvuruga kwa kumuweka Trump
3) Urusi ina kituo kikubwa sana cha kijeshi huko kaskazini mwa dunia (northern pole), ambako anaiangalia dunia yote kwa chini, mtu yoyote akileta fyoko anamfumua.

Marekani ni mbwa koko tu na hawezi kumfanya chochote mrusi, ndo maana ameungana na machoko wenzake nchi 30 (NATO) Ili kukabiliana na nchi moja tu.. Urusi. Halaf mtu anataka kuilinganisha marekani na urusi
 
Ficha ujinga wako, hii ni sawa na ugomvi wa watoto mmetwangana unatwangwa afu unasingizia mwenzako anabuti wewe unalaba. Kwani show hiyo mpaka mvae sare.

Super power ni pamoja na kumiliki sairaha ambazo wenzako au adui hana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi ndo ujue kama ni silaha.. Urusi ndo anaongoza kuwa na mabomu ya nyuklia mengi kuliko nchi yoyote duniani..ikiwamo na hiyo marekani yako. Kama hutaki kajinyonge
 
Urusi advantage aliyonayo ni Artillery(Mizinga), hiyo ndo inamfanya apige miji na kubomoabomoa majengo.

Ukraine naye anaomba apewe mizingia inayoweza kuchakaza positions za Urusi ndani ya Donbas. Akiipata hiyo mizinga, vita huko Mashariki itageuka degree 180.

Tekniki ya Mizinga ndo ilimpa Soviet Union ushindi dhidi ya majeshi ya Hitler

Soviet union waliwafundisha waasi wa China akina mzee Mao power ya mizinga, na ndo ikawa sababu ya akina Mzee Mao kuanza kupata ushindi mpaka wakaitwaa China mwaka 1949

Na Sisi Tanzania tulitumia tekniki ya Mizinga ya masafa ya kati na marefu kwenye vita ya Kagera, ikatupa advantage sana dhidi ya majeshi ya Amin

M23 pia walinyeshewa mizinga
 
Back
Top Bottom