Ukraine yakiri kumuua Jenerali wa kikosi cha nyuklia wa Urusi

Ukraine yakiri kumuua Jenerali wa kikosi cha nyuklia wa Urusi

Haya tena ...........uduuuuuuuduuu ............bado put in tu..............yaaani hapo ndio utajua kuwa Ukraine 🇺🇦 ni balaa sana...............slava Ukraine ..........piga woteeee hao mpaka wakimbie
Putin anawalea hawa wajinga badala ya kuwatupia atomic
 
Kama unapigana na mtoto akakupa ya chembe hata ukirudisha watu watazingatia zaidi ulivyopigwa sio uliorudisha.

Kwa level ya Russia alitakiwa asiuliwe General wake tena akiwa moscow.
Exactly. Mtu mkubwa kama huyo haikuwa vyema kuuawa kizembe hivyo. Inaonesha ni udhaifu mkubwa sana kwa nchi inayojigamba ni Super power.
 
Russia anafadhili makundi mengi ya kigaidi esp. kuwauzia silaha au hata kuwapa kama msaada. Ref.kundi la Houthis huko Yemen
Nalijua hilo lakini nina wasiwasi hujafatilia mambo kwa undani wake. USA kaionea sana Russia, kaionea sana dunia. Russia kufanya hicho unacho kisema kuna sababu, go and dig out utajua
 
Haya tena ...........uduuuuuuuduuu ............bado put in tu..............yaaani hapo ndio utajua kuwa Ukraine 🇺🇦 ni balaa sana...............slava Ukraine ..........piga woteeee hao mpaka wakimbie
Hii ndiyo itakayo leta ahueni ya mbano wanayo pewa Ukraine sasa hivi kwenye uwanja wa vita?
Mbona ni kama wana jizidishia maumivu zaidi?

Hivi viongozi wa Ukraine wakianza kuwindwa mmoja baada ya mwingine, kweli hapo atabaki hata mmoja wao?
 
Marekani wakiwa nyuma yako hakuna vita utashindwa
Marekani haipigani vita hiyo bali inaisadia Ukraine silaha na misaada ya kibinadamu ili wajilinde wenyewe kwa kutii Budapest memorandum iliyosainiwa na nchi nne: Urusi, Marekani, Uingereza na Ukraine ili kusudi Ukraine iachie silaha zake za Nyuklia zote ziende Urusi, halafu Marekani, Uingereza na Urusi watawahikikisha usalama wao Lakini sasa Urusi ambayo ndiyo iliyopkea silaha zile imeacha kutii Memoranduma hiyo. Ndiyo maana Urusi siyo nchi ya kuingia nao makubaliano ukadhani wako serious; angalia walivyomtelekeza Assad.
 
Hii ndiyo itakayo leta ahueni ya mbano wanayo pewa Ukraine sasa hivi kwenye uwanja wa vita?
Mbona ni kama wana jizidishia maumivu zaidi?

Hivi viongozi wa Ukraine wakianza kuwindwa mmoja baada ya mwingine, kweli hapo atabaki hata mmoja wao?
Ngoja tuone.
 
Hii imekaaje. Wakuu.
Mbona jamaa wanajipigia wanapotaka na wanayemtaka huku majibu yakiwa ni ya kawaida tu.
Huu ndio wakati wa US kudhoofisha Russia chapchap ili vita ikiisha na russia itakuwa down.
Kuna nukuu moja nimeiona toka kwa mwamba mmoja wa ikulu ya Ukrain. Anasema kwamba watakaa kwenye meza ya mazungumzo mpaka kwanza adui yao awe amedhoofu na hana tena resources za kupigana vita.
 
Hii imekaaje. Wakuu.
Mbona jamaa wanajipigia wanapotaka na wanayemtaka huku majibu yakiwa ni ya kawaida tu.
Huu ndio wakati wa US kudhoofisha Russia chapchap ili vita ikiisha na russia itakuwa down.
Mashirika ya kijasasusi ya nchi wanachama wa NATO (USA, UK, GERMANY na wengine) yapo kule kumsaidia Ukraine. Na mashirika hayo yapo vizuri sana, sio ya kimchezo.
 
Siamini kama kweli kuna watu wanaipigia upatu marekani kukaa nyuma ya Ukraine,bila kujua shetani wa kwanza dunia hii ni mmarekani
Hivi mnakua hamna akili hata kidogo ama shida inakua ni kiherehere kama wadada wa sinza
 
Hii Dunia Ina hayawani watatu, Russia, Iran na North Korea.
Hawa wakidhibitiwa Dunia itakaa salama.
Kwani tatizo lao ni lipi?,hadi wadhibotowe,hawa wameamka hawataki kuonewa!!,wanachofanya wako right mkuu
 
Siamini kama kweli kuna watu wanaipigia upatu marekani kukaa nyuma ya Ukraine,bila kujua shetani wa kwanza dunia hii ni mmarekani
Hivi mnakua hamna akili hata kidogo ama shida inakua ni kiherehere kama wadada wa sinza
Wabongo huwaambii kitu kuhusu USA . Ilimradi tu ni Rafiki wa Israeli ndo kabisa. Lakini shid ya dunia ni USA kuendeleza sera zake hapa duniani
 
Hii imekaaje. Wakuu.
Mbona jamaa wanajipigia wanapotaka na wanayemtaka huku majibu yakiwa ni ya kawaida tu.
Huu ndio wakati wa US kudhoofisha Russia chapchap ili vita ikiisha na russia itakuwa down.
Wanofanikisha huo ugaidi si Ukraine.

Ukraine ipo kwenye proxy war.

Kujitokeza Ukraine kushangilia huo ugaidi ni kutaka sifa tu.

Russia wanafahamu kinoendelea.
 
Back
Top Bottom