Ukraine yakiri kumuua Jenerali wa kikosi cha nyuklia wa Urusi

Ukraine yakiri kumuua Jenerali wa kikosi cha nyuklia wa Urusi

Ukraine vita vimewashinda sasa hawana tofauti na magaidi.
 
Nalijua hilo lakini nina wasiwasi hujafatilia mambo kwa undani wake. USA kaionea sana Russia, kaionea sana dunia. Russia kufanya hicho unacho kisema kuna sababu, go and dig out utajua
USA hawezi ioneq Russia. Russia ni Taifa kubwa sana. Lenye nguvu.
 
Haya tena ...........uduuuuuuuduuu ............bado put in tu..............yaaani hapo ndio utajua kuwa Ukraine 🇺🇦 ni balaa sana...............slava Ukraine ..........piga woteeee hao mpaka wakimbie
Huu ni udhaifu WA kiusalama, General muhimu anauwawa kindezi hivyo!
 
Siamini kama kweli kuna watu wanaipigia upatu marekani kukaa nyuma ya Ukraine,bila kujua shetani wa kwanza dunia hii ni mmarekani
Hivi mnakua hamna akili hata kidogo ama shida inakua ni kiherehere kama wadada wa sinza
Sheikh wangu USA imeleta amani sana Duniani. Sisi wenyewe huwa tunakimbilia huko mambo yakitindinganya kuna uafadhali kuliko Irani au Afghastan. Wacha tu iendelee kusaidia upatikane utulivu. Akina Ghadaf waliichafua sana Afrika.
 
Huu ni udhaifu WA kiusalama, General muhimu anauwawa kindezi hivyo!
Sio kindezi tu...........hapo utatambua pia Ukraine ni jidubwana kubwa sana .............na kamwe hawakubali uchokozi usiovumilika kutoka kwa urusi wa kuua kilazima watoto,wanawake,wazee na vijana wa kiukrein bila hatia yeyote........hapo ni lazima putin atajipanga kidogo na kushtuka hata kwa kiasi kuwa sio kira mwenye chogo basi ana akili nyingi wengine ni ulemavu tu
 
Kitendo Cha Ukraine kuisambaratisha Yale mavifaru ya Urusi siku ile ili kuwa dalili kwamba Urusi aaache ujinga
 
Sheikh wangu USA imeleta amani sana Duniani. Sisi wenyewe huwa tunakimbilia huko mambo yakitindinganya kuna uafadhali kuliko Irani au Afghastan. Wacha tu iendelee kusaidia upatikane utulivu. Akina Ghadaf waliichafua sana Afrika.
Hakuna unachokijua kuihusu usa acha nitunze energy yangu
 
Wabongo huwaambii kitu kuhusu USA . Ilimradi tu ni Rafiki wa Israeli ndo kabisa. Lakini shid ya dunia ni USA kuendeleza sera zake hapa duniani
usa tena nikaandike kwa small laters,anahisi yeye ndiye mwenye haki na kila kitu katika hii dunia,
Machafuko mengi duniani asilimia 80 yuko nyuma yake
 
Back
Top Bottom