Ukraine yakubali mazungumzo ya amani na Urusi, leo 28/02/2022

Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maharifa..
Jipe fikla huru mawazo huru acha ujinga wako pembeni.amini unachoamini kaka.
Maharifa = maarifa, fikla = fikra, .... kwa uandishi huu hauwezi kuwa na hoja ya kisomi kabisa. Comments zako ni za kutoka vijiweni.
 
Ondoa upuuzi wako apa aliyetaka mazungumzo zaidi ni Russia baada ya hali ngumu Kiev ambayo hawakutarajia, miji ya kiev ipo under control of Ukraine ndio mana sasa anatishia kutumia nuclear ngoma nzito kwake lakini vikwazo ndio vinamtesa zaidi baada mwezi kutoka sasa russia watahitaji gunia la pesa kununua mkate tu, transaction za benk zote zimekuwa blocked, raia wake kwa maelfu wanaandamana kupinga upumbav wa Putini
Wehu wengi wanahisi kama urusi ni Mungu wa dunia hapigiki! Kama urusi wameletellwa upinzani na Ukraine hivi vipi wangebondana na ufaransa au germany! Lengo la urusi lilikuwa na kutawala anga la urkaine ndani ya saa 24, Kuvuruga mawasiiano ya kijeshi ndani ya saa 36, Kuteka jiji la kiev ndani ya saa 48 na kupandikiza kibaraka wake ndani ya saa 72! Ila vyote hivyo vimegonga mwamba jamaa kaona aje na plan ya mwisho, kutumia Nuclear!
 
masharti ya Urusi kwenye mazungumzo ni yaleyale Ukreine asijiunge na NATO.
Putin ni mtemi aisee,nchi huru unaipangiaje?
Asijiunge vipi wakati NATO wako pembeni wanatoa full support kwa Urkaine! Mzee ukiondoa China Na Russia Nchi nyingne Zote kubwa Zipo NATO!
 
Wehu wengi wanahisi kama urusi ni Mungu wa dunia hapigiki! Kama urusi wameletellwa upinzani na Ukraine hivi vipi wangebondana na ufaransa au germany! Lengo la urusi lilikuwa na kutawala anga la urkaine ndani ya saa 24, Kuvuruga mawasiiano ya kijeshi ndani ya saa 36, Kuteka jiji la kiev ndani ya saa 48 na kupandikiza kibaraka wake ndani ya saa 72! Ila vyote hivyo vimegonga mwamba jamaa kaona aje na plan ya mwisho, kutumia Nuclear!
Pro Russia ukiwakumbushia haya wanakuwa wakali kweli.
 
Ondoa upuuzi wako apa aliyetaka mazungumzo zaidi ni Russia baada ya hali ngumu Kiev ambayo hawakutarajia, miji ya kiev ipo under control of Ukraine ndio mana sasa anatishia kutumia nuclear ngoma nzito kwake lakini vikwazo ndio vinamtesa zaidi baada mwezi kutoka sasa russia watahitaji gunia la pesa kununua mkate tu, transaction za benk zote zimekuwa blocked, raia wake kwa maelfu wanaandamana kupinga upumbav wa Putini
Hali ngumu au hataki kumaliza raia........ila wasiposikia unafumua tu mji mzima maana wote wameshajifanya wanajeshi......unamaliza tu jeshi lote
 
Back
Top Bottom