Ukraine yalalamika Russia kutumia makombora hatari ya thermobaric rockets, wachambuzi wa silaha wa USA wasema huo ni 'ukatili'

This idiot Zelensky alidhani vita ni comedy kama alivyokua anaigiza. He is intellectually malnourished. Au alijua watarushiana toys. He had to much expectations in NATO and US. He doesnt know to read through the lines
 
Juzi walisema Russia anatumia silaha dhaifu, jana wakasema Russia anatumia silaha za zamani yaani vifaru vya miaka hamsini iliyopita.

Leo tena wanasema anatumia silaha kali mno...sasa tuwaeleweje hawa watu.
HAWA US TAARIFA ZAO ZINAGONGANA. HIYO INTELIGENSIA YAO, HATA YA MAGOGONI IKO VIZURI.
Walituambia tena uchumi wa Russia uko chali, wakaja na jingine Russia inajiandaa na vita ya muda mrefu, wakaja na lingine Russia inampango wa kuivamia Finland na Sweden. Hivi jamani nchi iliyofirisika inaweza ikapanga yote haya au ndio kusema tumelishwa ndumba hata uwezo wa kungàmua hatuna?
 
Hawa watu hawaeleki. Russia akitumia silaha nyepesi vyombo vyao vya habari wanakesha kwa maneno machafu dhidi ya Russia. Akitumia silaha nzito,wanalalamika.
Watulie tuu. Hiyo ndio vita
Babu Safari hii west wamekutana na mwisho.

Wataongea Kila neno.
Wataona Kila rangi.

Walizoea kuonea vijidagaa.

Hatimae wamekuta kibao kimeandikwa "end of the road".
 
Leo Donbosk Russia wamesimamisha mapigano na kutangaza kwamba wanajeshi wa Ukraine nao wasimamishe mapigano.
 
Habari nzuri Sana hii,NATO si wanasemaga akishambuliwa member wao mmoja wanaingilia wote?Nataka nione watamfanya Nini Belarus.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…