Usimtete asie na nguvu wewe, mtapigwa wote.Kwa nini unakuwa mnafiki? Russia wamefuata nini kwenye nchi ya watu.
Kabisa apige awaue kwawingi wakome UMBWA wakubwa wakubwa kabisaaa[emoji35][emoji35][emoji35]Severodonestic wamejenga mahandaki toka 2014 bunkers sasa ukienda kisenge utapoteza askari wengi kisha wakina shafii Dauda wa vita watacheka sana sasa bora walie vita ilipo haihitaji utu. Piga tu
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
kwahiyo Putin ndo anawapangia wa Ukraine ? yaan wa ukraine wamtoe kibaraka wa Putin hlf Putin nae anataka kumtoa rais wa wa ukraineZelensky kawaingiza waUkraine cha kike. Akubali kushindwa na aondoke madarakani maisha ya wananchi wa Ukraine yaendelee. Kukubali kupambana na russia kupitia vimisaada vya silaha toka Western ni kutaka kuifanya ukraine iharibike zaidi.
duh , Putin ni kichaa , jiulize nguv anayotumia analenga Donbas na Mauripol tu hlf baadae mje muwalaumu NATO km Iraq alivyokuwa anamtesa Iran au Ghadaf alipokuwa anadhamini ugaidi huko Afrika magharibiRussia ana silaha nyingi sana za kivita. Hii kitu ndio inamuumiza sana Marekani na NATO
Ifike kipindi jeshi la Tz liingilie kati hii vitaUkraine inalalamika kuwa Russia inatumia silaha nzito mno, TOS-1A Thermostatic Rockets (vacuum bombs), ktk mapigano huko Donetsk.
Kwa mujibu wa Marekani, silaha hizo ni special kwa kuangamiza ngome za kijeshi zilizo kwenye mahandaki chini ya ardhi na maadui waliojificha kwenye bunkers. Silaha hizo zinapotumika huwa hakuna kitu kinachoweza kumkinga mtu na mlipuko wa silaha hizo.
Wachambuzi wa maswala ya silaha wa Marekani wanasema Russia kutumia silaha hizo dhidi ya majeshi ya Ukraine ni ukatili tu.
Wachambuzi hao wa Marekani wameendelea kukazia kuwa pamoja na kuwa kwa sasa hakuna sheria zinazozuia matumizi ya silaha hizo za Russia (TOS-1A thermobaric rockets), lakini maangamizi yanayosababishwa na silaha hizo hupelekea baadhi ya wachambuzi wa maswala ya silaha kuweka matumizi ya silaha hizo katika makosa ya uhalifu vitani.
Omusolopogasi na Glenn (waMarekani wetu wa Nanjilinji) njooni hapa mteseke tena zaidi
=====
View attachment 2241793View attachment 2241794View attachment 2241795View attachment 2241796
Yule comedy ukimchunguza kwa makini anauza wananchi wake juzi tu hapa alitoka huko shimoni mishipa ya shingo imemtoka akidai urusi wanatumia silaha dhaifu sana,wote tukatahamaki hapa ze comedy anataka nini huyu kumbe kama alikua anachumbia wapelekewe moto mzito haya anko putin kasikia kilio chake kampelekea moto wa kiume pia hataki anataka zile dhaifu,mzima kweli huyu zelenksy.Tulieni ni silaha nyepesi tu 🤣🤣🤣
Hatujatumua bali tumefanyia majaribioSasa anatupangia nn cha kutumia kwenye vita?
Kibera MK254 ukuje kufafanua sisi ....mkong'oto juzz band ..atuelewi mnataka nini?Juzi walisema Russia anatumia silaha dhaifu, jana wakasema Russia anatumia silaha za zamani yaani vifaru vya miaka hamsini iliyopita.
Leo tena wanasema anatumia silaha kali mno...sasa tuwaeleweje hawa watu.
Wewe ndio hujui.Hakika haujui maana ya neno mnafiki.
Rudi darasani vinginevyo Imeloa kwelikweli
hv ni BBC au BBQ?BBC news jamaa kwa propaganda,utacheka tu