Ukraine yalalamika Russia kutumia makombora hatari ya thermobaric rockets, wachambuzi wa silaha wa USA wasema huo ni 'ukatili'

Ukraine yalalamika Russia kutumia makombora hatari ya thermobaric rockets, wachambuzi wa silaha wa USA wasema huo ni 'ukatili'

Severodonestic wamejenga mahandaki toka 2014 bunkers sasa ukienda kisenge utapoteza askari wengi kisha wakina shafii Dauda wa vita watacheka sana sasa bora walie vita ilipo haihitaji utu. Piga tu

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Kabisa apige awaue kwawingi wakome UMBWA wakubwa wakubwa kabisaaa[emoji35][emoji35][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zelensky kawaingiza waUkraine cha kike. Akubali kushindwa na aondoke madarakani maisha ya wananchi wa Ukraine yaendelee. Kukubali kupambana na russia kupitia vimisaada vya silaha toka Western ni kutaka kuifanya ukraine iharibike zaidi.
kwahiyo Putin ndo anawapangia wa Ukraine ? yaan wa ukraine wamtoe kibaraka wa Putin hlf Putin nae anataka kumtoa rais wa wa ukraine
 
Russia ana silaha nyingi sana za kivita. Hii kitu ndio inamuumiza sana Marekani na NATO
duh , Putin ni kichaa , jiulize nguv anayotumia analenga Donbas na Mauripol tu hlf baadae mje muwalaumu NATO km Iraq alivyokuwa anamtesa Iran au Ghadaf alipokuwa anadhamini ugaidi huko Afrika magharibi
 
Ukraine inalalamika kuwa Russia inatumia silaha nzito mno, TOS-1A Thermostatic Rockets (vacuum bombs), ktk mapigano huko Donetsk.

Kwa mujibu wa Marekani, silaha hizo ni special kwa kuangamiza ngome za kijeshi zilizo kwenye mahandaki chini ya ardhi na maadui waliojificha kwenye bunkers. Silaha hizo zinapotumika huwa hakuna kitu kinachoweza kumkinga mtu na mlipuko wa silaha hizo.

Wachambuzi wa maswala ya silaha wa Marekani wanasema Russia kutumia silaha hizo dhidi ya majeshi ya Ukraine ni ukatili tu.

Wachambuzi hao wa Marekani wameendelea kukazia kuwa pamoja na kuwa kwa sasa hakuna sheria zinazozuia matumizi ya silaha hizo za Russia (TOS-1A thermobaric rockets), lakini maangamizi yanayosababishwa na silaha hizo hupelekea baadhi ya wachambuzi wa maswala ya silaha kuweka matumizi ya silaha hizo katika makosa ya uhalifu vitani.

Omusolopogasi na Glenn (waMarekani wetu wa Nanjilinji) njooni hapa mteseke tena zaidi

=====





View attachment 2241793View attachment 2241794View attachment 2241795View attachment 2241796
Ifike kipindi jeshi la Tz liingilie kati hii vita
 
Tulieni ni silaha nyepesi tu 🤣🤣🤣
Yule comedy ukimchunguza kwa makini anauza wananchi wake juzi tu hapa alitoka huko shimoni mishipa ya shingo imemtoka akidai urusi wanatumia silaha dhaifu sana,wote tukatahamaki hapa ze comedy anataka nini huyu kumbe kama alikua anachumbia wapelekewe moto mzito haya anko putin kasikia kilio chake kampelekea moto wa kiume pia hataki anataka zile dhaifu,mzima kweli huyu zelenksy.
 
Back
Top Bottom