Mr Putin
JF-Expert Member
- Feb 13, 2019
- 515
- 520
Ka check wa kina nani wenye hizi bug media then utajua.and media is the first weapon to kill.It is funny how Ukraine wins this war on social media while Russians capture strategic places
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ka check wa kina nani wenye hizi bug media then utajua.and media is the first weapon to kill.It is funny how Ukraine wins this war on social media while Russians capture strategic places
Kwenye Vita hatuchaguliani silaha. Kama anaona hiyo njia inafaa acha aitumie.Nae sasa haeleweki anataka nini. Nitaanza kuamini sasa Putin alivyomwambia kuwa anavuta ganda. Wewe wananchi wako wanateseka na kuvamiwa unaanza vipi kuwaza ukubaliwe kuingia EU?Au anafikiri sympathy itawafanya EU wakubali haraka iwezekanavyo?
EU si wajinga. Wanajua madhara ya kumkubalia. Huyu Rais wa Ukraine ni mbinafsi. Yeye anaangalia solutions zitakazomuweka vizuri yeye. Au ndo ile kuliko kuanguka peke yake anataka waanguke wengi. EU kamwe hawawezi kubali hili. Yeye kwa hali ilivyo sasa ni bora akubali masharti ya Putin ili amani ipatikane. Kwanza hawa Ukraine ndugu zao zaidi ni warusi kuliko wazungu wa Ulaya magharibi. Sema hela za UE na US zinamfanya asiwe upande wa ndugu zake Urusi.Kwenye Vita hatuchaguliani silaha. Kama anaona hiyo njia inafaa acha aitumie.
Huu ndio ujinga Sasa , Yani akubaliane na Russia kwasababu Hana nguvu ?EU si wajinga. Wanajua madhara ya kumkubalia. Huyu Rais wa Ukraine ni mbinafsi. Yeye anaangalia solutions zitakazomuweka vizuri yeye. Au ndo ile kuliko kuanguka peke yake anataka waanguke wengi. EU kamwe hawawezi kubali hili. Yeye kwa hali ilivyo sasa ni bora akubali masharti ya Putin ili amani ipatikane. Kwanza hawa Ukraine ndugu zao zaidi ni warusi kuliko wazungu wa Ulaya magharibi. Sema hela za UE na US zinamfanya asiwe upande wa ndugu zake Urusi.
[emoji28][emoji28][emoji28] aje akutane na kina kimani..,[emoji28][emoji28]Uyu mchekeshaji mbona anatapatapa sana?
Aje Basi na uku ajiunge na SADEC[emoji4]
Wewe kama nani unaesema mrusi lazima asarende.Kumbe uelewa wa wabongo n mdogo Sana nmemaini.Ukurein kaomba kujiunga kwa ya ombi la zalula na Hilo ombi lipo kwenye sheria ya NATO Kwa hiyo mjue atapewa uanachama sio hadi miaka 10 .Ni kama hati ya zalula kwenye sheria za NATO .Kama mnabisha hata wiki haitapita bila kupewa uanachama,haya mambo hawajakulupuka ni mpango ulipangwa zaidi ya miaka 10 iliyopita Sasa hivi wanatekeleza tu.Kuhusu Ukraine kuvamiwa na NATO kutoingilia mapema hiyo ilikua ni Sababu ili mambo yaweze kutokea.Hakuna jambo la bahati mbaya chini ya jua.Pia Kumbukeni Urusi Sasa hivi anapigana na NATO na mwisho wa siku Urusi atasalenda.
Hakuna kitu kama dharura. Ukraine iliyotapakaa rushwa. Sana sana watamsaidia tu.Ila eti kuingia EU sasa hivi ni never.Huu ndio ujinga Sasa , Yani akubaliane na Russia kwasababu Hana nguvu ?
Ukraine ni sovereignty country acheni kujitia ukichaa. Mbona lativia na Estonia Ni wanachama wa NATO na wamepakana na Huyo Russia mbona hajazivamia.
Kingine ambacho unanishangaza eti Raisi wa Ukraine anataka kujiunga na EU ili waanguke wote. Mbona EU wamefunga anga zao kusipite ndege ambazo zimesajiliwa Russia na huyo Russia hajafanya chochote kwa hizo nchi? Unadhani atafanya chochote baada EU kumpa uanachama Ukraine?
Halafu unaposema EU hawawezi kuipa membership Ukraine eti mpaka baada ya miaka kumi , unajua kuwa Kuna Maombi ya kujiunga na EU kwa dharura ?
Huo undugu wa Russia upo tu na wa Ukraine ? Mbona kuna nchi nyingi zimejimega kutoka Russia na husemi Kama unachokisema hapa .
Hizi zote nchi zilikuwa sehemu ya Urusi na Ni ndugu mbona huwazungumzii ;
Moldova
Uzbekistan
Kazakhstan
Kyrgyzstan
Tajikistan
Turkmenistan
Georgia
Tbilisi
Azerbaijan
Armenia
Lithuania
Estonia
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Sawa secretary wa EUEU si wajinga. Wanajua madhara ya kumkubalia. Huyu Rais wa Ukraine ni mbinafsi. Yeye anaangalia solutions zitakazomuweka vizuri yeye. Au ndo ile kuliko kuanguka peke yake anataka waanguke wengi. EU kamwe hawawezi kubali hili. Yeye kwa hali ilivyo sasa ni bora akubali masharti ya Putin ili amani ipatikane. Kwanza hawa Ukraine ndugu zao zaidi ni warusi kuliko wazungu wa Ulaya magharibi. Sema hela za UE na US zinamfanya asiwe upande wa ndugu zake Urusi.
Fact!EU si wajinga. Wanajua madhara ya kumkubalia. Huyu Rais wa Ukraine ni mbinafsi. Yeye anaangalia solutions zitakazomuweka vizuri yeye. Au ndo ile kuliko kuanguka peke yake anataka waanguke wengi. EU kamwe hawawezi kubali hili. Yeye kwa hali ilivyo sasa ni bora akubali masharti ya Putin ili amani ipatikane. Kwanza hawa Ukraine ndugu zao zaidi ni warusi kuliko wazungu wa Ulaya magharibi. Sema hela za UE na US zinamfanya asiwe upande wa ndugu zake Urusi.
Sema Rais wa Ukraine anapenda kwenye hela. Ndo maana anajiweka mbali na ndugu zake Russia.Fact!
Ni Sawa na mmatumbi aseme anajitenga aungane na wahutu! Ukrainians are closely related to Russians.
It is funny how Ukraine wins this war on social media while Russians capture strategic place
Nimependa hoja zake ndio inatakiwa great thinker ajibu hivi ,hoja kwa hoja ,facts kwa facts.Huu ndio ujinga Sasa , Yani akubaliane na Russia kwasababu Hana nguvu ?