Ukraine yasaini maombi ya kujiunga Umoja wa Ulaya (EU)

It is funny how Ukraine wins this war on social media while Russians capture strategic places
Ka check wa kina nani wenye hizi bug media then utajua.and media is the first weapon to kill.
 
Nae sasa haeleweki anataka nini. Nitaanza kuamini sasa Putin alivyomwambia kuwa anavuta ganda. Wewe wananchi wako wanateseka na kuvamiwa unaanza vipi kuwaza ukubaliwe kuingia EU?Au anafikiri sympathy itawafanya EU wakubali haraka iwezekanavyo?
Kwenye Vita hatuchaguliani silaha. Kama anaona hiyo njia inafaa acha aitumie.
 
Kwenye Vita hatuchaguliani silaha. Kama anaona hiyo njia inafaa acha aitumie.
EU si wajinga. Wanajua madhara ya kumkubalia. Huyu Rais wa Ukraine ni mbinafsi. Yeye anaangalia solutions zitakazomuweka vizuri yeye. Au ndo ile kuliko kuanguka peke yake anataka waanguke wengi. EU kamwe hawawezi kubali hili. Yeye kwa hali ilivyo sasa ni bora akubali masharti ya Putin ili amani ipatikane. Kwanza hawa Ukraine ndugu zao zaidi ni warusi kuliko wazungu wa Ulaya magharibi. Sema hela za UE na US zinamfanya asiwe upande wa ndugu zake Urusi.
 
Huu ndio ujinga Sasa , Yani akubaliane na Russia kwasababu Hana nguvu ?

Ukraine ni sovereignty country acheni kujitia ukichaa. Mbona lativia na Estonia Ni wanachama wa NATO na wamepakana na Huyo Russia mbona hajazivamia.


Kingine ambacho unanishangaza eti Raisi wa Ukraine anataka kujiunga na EU ili waanguke wote. Mbona EU wamefunga anga zao kusipite ndege ambazo zimesajiliwa Russia na huyo Russia hajafanya chochote kwa hizo nchi? Unadhani atafanya chochote baada EU kumpa uanachama Ukraine?


Halafu unaposema EU hawawezi kuipa membership Ukraine eti mpaka baada ya miaka kumi , unajua kuwa Kuna Maombi ya kujiunga na EU kwa dharura ?



Huo undugu wa Russia upo tu na wa Ukraine ? Mbona kuna nchi nyingi zimejimega kutoka Russia na husemi Kama unachokisema hapa .

Hizi zote nchi zilikuwa sehemu ya Urusi na Ni ndugu mbona huwazungumzii ;
Moldova
Uzbekistan
Kazakhstan
Kyrgyzstan
Tajikistan
Turkmenistan
Georgia
Tbilisi
Azerbaijan
Armenia
Lithuania
Estonia


Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Wewe kama nani unaesema mrusi lazima asarende.
 
Hakuna kitu kama dharura. Ukraine iliyotapakaa rushwa. Sana sana watamsaidia tu.Ila eti kuingia EU sasa hivi ni never.
 
Sawa secretary wa EU
 
Fact!
Ni Sawa na mmatumbi aseme anajitenga aungane na wahutu! Ukrainians are closely related to Russians.
 
So it takes almost a month for russia the big super power with hypersonic missiles that no other country in the world has to capture so called strategic places in a country just next door, or maybe the ' ve allready completed the special op and the blue red white flag of Russia is flying all over Kyiv, i maybe the victim of fake news from the west , it hard to get un biased news these days.

So what's stopping the russians from declaring mission accomply of the de nazification if Ukrain ?



It is funny how Ukraine wins this war on social media while Russians capture strategic place
 
Mkuu
Nimependa hoja zake ndio inatakiwa great thinker ajibu hivi ,hoja kwa hoja ,facts kwa facts.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…